Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 970
- 2,360
Shikamooni wakubwa wa humu ndani.
Jaman nimewamiss mno , wapo wachache nimebahatika kukutana nao na hata wale ambao sijawahamu ,naamini ipo siku tutakutana.
Namiss utani,vicheko na baadhi ya vitu vingi vya kufurahisha.
Lakini poleni Kwa matatizo na shida zote zinazoendelea ,naamini Mungu ni mwema kila kitu kitakaa sawa,Kwa wale waliopoteza ndugu na jamaa Mungu awape faraja pia.
Hakuna kifo kisochokuwa na sababu.
Leo nimeingia tena JamiiForums baada ya siku nyingi kupita.
Nawapenda, karibuni