ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Kinondoni kubwa..afu mie sio mwenyeji Sana huko. Wapi tukutane japo glass ya juice bestito. Wikiendi hii ujue..!
Bestito hata saivi. Vipi unapatikana wapi jijini...!
hutafurahia kuniona mm ni black si mchezo yaani kama vile umeona kinyago cha mpingo
hapana sijampiga chini bali alitaka kujua mm mkewe ninakwenda wapi
Duh..bestie kwani tunaonana ili luangalia sura zetu au tunaonana kwa ajili ya kufahamiana na kupata juice. Kwa mawazo haya umeshanionyesha kuwa huwezi kuonana na mimi. Napenda mtu anayejiamini. Mambo ya sura tunawaachia wanaotongozana na under 25.
Mambo binamu....
nimesema hivyo cause nimeshakutana nawengi wa hapa jf wanaizingua sana
na kujoke ndo maana inimesema hivyo samahani kama umeshaboreka
hahahahahahaaaaaaaaaaa oky ingia pm nilijue jinalo kisha tupange lini tuonane
na kupeana contacts zaidi
PM yangu imepigwa pini milele haifanyi kazi...!
Sorry...!kwa hiyo inakuwaje? au ndo walewale...................? oky ukiona vyema sawa usipoona vyema napo sawa
Sorry...!
safi binamu unasemaje? upo mana sijakuona hapa jukwaani lakini hat ahivo nami sikuonekana hapa
ndo natia mguu tena nione mapya ya hapa
Arushaone upo babaaMissing you too Bella