Tupo sana tu.........wengi tushakatika mabawa haturuki tena........
Halafu wewe figganigga.......nakutafuta........
Za siku nyingi bibie Preta? Hawajambo Yaeda Chini...Tupo sana tu.........wengi tushakatika mabawa haturuki tena........
Halafu wewe figganigga.......nakutafuta........
Nashangaa kwanini hadi sasa tunaishi hivi. Nicheck kwenye simu fasta. Hii dunia inaweza kukufanya upotezane na ndugu. Asante sana M'Jr kwa kumleta huyu, anaonekana kwa manati. Mambo vipi Katavi? miaTupo sana tu.........wengi tushakatika mabawa haturuki tena........
Halafu wewe figganigga.......nakutafuta........
Safi kabisa figganigga. Mia.
Mkuu huwezi amini nimefurahi sana kukuona make nilidhani umepotea kwenye ile ajali...
Welcome back...
Daah! mkuu kitambo sana, Mambo vipi lakini? Nashukuru Mungu bado tupo hai, hao ulowataja nimewakumbuka pia. Hasa huyo namba ya kati Preta, sijui alinipa limbwata!, maanake simsahau kabisa hadi namuota. kuna na viumbe wengine pia nawakumbuka kila siku, Husninyo, na Mnyonge wangu Dena Amsi wakina bebii sikuhizi naona wanajiita Smile, yule popo bawa sijui anajiita Washawasha yaani watu mpaka basi. mia
Mkuu hope ulikuwa unamaanisha wimbo huu