Nimewakumbuka, MMU Legends


Ulimisika pande hizi sana...
 
Last edited by a moderator:
mume wangu no one like u and u know that! nakupenda jana, leo na kesho! tumetoka mbali Asprin wangu! luv u more bby no worries! kisses!

Hatimaye roho yangu imepona.

Nataka tuweke mizani tuone nani anampenda mwenzie zaidi. Yani wivu wangu mpaka kwa kaka zako.
 
wapi kichuguu, madela wa madilu, mwalimu agustino, mwawado, philemon michael, shy. Daa Jf kweli kisima cha elimu

......hehhh!? Yaani hao ndio waanzilishi waandamizi haswaaa.
 
This is a big time disqualification.

Playaz aren't supposed to forget their playeez.

With JF multiple ids she could be the one forgetting which id she used when we chat..
halafu nazeeka aisee na retire being player :becky:
 
Reactions: Mbu
zamani mlikuwa mnaishi kwa upendo sana humu JF,hakukuwa na matusi wala team za sikuhizi tulizonazo,watu mlitumia tafsida na mkaelewana,hakukuwa na ubaguzi wa kuchagua thread za kuchangia au kubagua mtu kama sasa hivi.
Hongereni legends.
Sure mkuu. Enzi hizo uzhirikiano, upendo ulikuwa maximum. Thread zilikuwa hot hot unacheka, unafurahi na unajifunza.
Legends come back pliz
 
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…