Nimewakomesha madenti wa chuo

Nimewakomesha madenti wa chuo

Me kamawida wakija wengi nachukua contact zao kisha naanza kudeal na mmoja mmoja nawala hata waseme shs ngapi
 
Itakuchukua miaka 30 kazini kuja kujenga nyumba yako,wakubwa watanielewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kwamba hakua na chapa!
Ilikuwepo ya mawazo na yy akikutega ajue kama kapata asset au liability.

Yaani siku ya kwanza tu aje pekeyake? Kisa umempa lift?
Sio kila demu wa chuo mshobokaji na mambo madogo...yy kaenda mbali kidogo na kama kweli ulimtaka na unachapaa hilo ni jambo dogo sana.

Kwahiyo ukajua kumpa lift na kukupa namba basi kesha??

Wanaume wengine bana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna denti wa chuo fulani jijini Dar (jina kapuni) tulikutana wakati anaenda chuo na mimi naenda kazini nikampa lift hadi chuoni kwao nikachukua namba ya simu tukawa tunawasiliana.

Siku ya nane nane nikaona nimtafute tukapanga tukutane maeneo fulani Sinza. Sasa bana akaja na kijiji yuko na wenzie 4 na yeye wa 5 halafu naskia wenzao wawili wako njiani wanakuja eti wanawapitia waende beach.

Huku wakiwa na nyuso za furaha kama fisi anayejiandaa kumnyonya mbuzi damu na mimi nikaanza kunyongonyea lakini ujasiri ukanijia ikabidi nisimame kama mwanaume nikawaambia usawa huu wa Magu kila mtu anywe soda moja moja halafu tukaogelee beach.


Aisee sura zao zilibadilika ghafla wakawa kimya nikabaki mimi nawapigia stori za Magu alivyobana, maisha tight, tunashindia mikate maofisini baada ya hapo wakaanza kuondoka kwa mafungu hata denti mwenyewe akaniaga anaondoka na rafiki yake wanaenda kumsalimia mjomba wake. Hadi leo hii siku ya tatu hapokei simu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba hakua na chapa!
Ilikuwepo ya mawazo na yy akikutega ajue kama kapata asset au liability.

Yaani siku ya kwanza tu aje pekeyake? Kisa umempa lift?
Sio kila demu wa chuo mshobokaji na mambo madogo...yy kaenda mbali kidogo na kama kweli ulimtaka na unachapaa hilo ni jambo dogo sana.

Kwahiyo ukajua kumpa lift na kukupa namba basi kesha??

Wanaume wengine bana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa umezoea kuchunwa wewe ama uelewa wako si mzuri. Hivi nani amekataa demu kuja na rafiki yake? Wengine wote wameelewa isipokuwa wewe tu Buzi.

Kiustaarabu ukimwita demu akikuambia nakuja na rafiki yangu ni kawaida tu hakuna mtu atashang'aa. Tatizo ni demu kuja na watu wanne, tano na zaidi tena bila kukupa taarifa huo sio ustaarabu ni ujambazi tena wanaweza kukuwekea na madawa wakakuibia.

Njia hiyo ya kuja na kijiji inatumiwa na mademu wahuni tena makahaba na lengo lao ni kukuchuna na kukukomoa.

Njia za kumpima mtu kama ana hela siyo hizo eti kisa umewanywesha watu wakalewa au wamekula wakashiba ndo uonekane una hela. Ni bora demu anayekupiga mzinga au kukuomba umsaidie shida zake kuliko wa kuja na kijiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti mwanaume wa kweli hakimbii majukumu. Kwahiyo kukubali kuchunwa ndo kutimiza majukumu? Huo ni UBUZI. Wewe unaona sifa kuzungukwa na wanawake saba ambao hukuwa na ahadi nao wanakuchuna tu eti unatimiza majukumu kwani ndugu zako hao?. Tena wakitoka hapo wanaenda kusimuliana jinsi walivyokunyonyoa. Hata kama una hela lazima uzitumie kwa discipline siyo kuzitumbua tu bila mpangilio utakufa maskini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimependa ulivowafanyia hao wadada, wanaume wa humu jf inabid wajifunze kitu toka kwako, ingekuwa mm hata soda wasingekunywa Maisha pesa
 
Back
Top Bottom