Nimewakomesha madenti wa chuo

Nimewakomesha madenti wa chuo

Kuna denti wa chuo fulani jijini Dar (jina kapuni) tulikutana wakati anaenda chuo na mimi naenda kazini nikampa lift hadi chuoni kwao nikachukua namba ya simu tukawa tunawasiliana.

Siku ya nane nane nikaona nimtafute tukapanga tukutane maeneo fulani Sinza. Sasa bana akaja na kijiji yuko na wenzie 4 na yeye wa 5 halafu naskia wenzao wawili wako njiani wanakuja eti wanawapitia waende beach.

Huku wakiwa na nyuso za furaha kama fisi anayejiandaa kumnyonya mbuzi damu na mimi nikaanza kunyongonyea lakini ujasiri ukanijia ikabidi nisimame kama mwanaume nikawaambia usawa huu wa Magu kila mtu anywe soda moja moja halafu tukaogelee beach.

Aisee sura zao zilibadilika ghafla wakawa kimya nikabaki mimi nawapigia stori za Magu alivyobana, maisha tight, tunashindia mikate maofisini baada ya hapo wakaanza kuondoka kwa mafungu hata denti mwenyewe akaniaga anaondoka na rafiki yake wanaenda kumsalimia mjomba wake. Hadi leo hii siku ya tatu hapokei simu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
lakini mbunye umeikosa
 
Mwanaume wa kweli hakimbii majukumu labda useme na ww ulichacha!

Kwanza mwanamke anaejielewa siku ta kwanza tu hawezi kuja peke yake.. Kama na ww ingénua unajielewa ilibidi ujipange.
Lá pili.. Humu kuna training mbalimbali watu wanatoa. Na unashauriwa demu akija na ráfiki zake wajali zaidi rafiki zake, kwa hiyo hapo ulitakiwa ku-apply hiyo kitu.
Next time ukimwalika atakuja mwenyewe.

Inshort wewe ndio boya na haukua na hela labda ulikua na hela ya chips kuku moja tu.

Eti mwanaume wa kweli hakimbii majukumu. Kwahiyo kukubali kuchunwa ndo kutimiza majukumu? Huo ni UBUZI. Wewe unaona sifa kuzungukwa na wanawake saba ambao hukuwa na ahadi nao wanakuchuna tu eti unatimiza majukumu kwani ndugu zako hao?. Tena wakitoka hapo wanaenda kusimuliana jinsi walivyokunyonyoa. Hata kama una hela lazima uzitumie kwa discipline siyo kuzitumbua tu bila mpangilio utakufa maskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] soda hiyo vepeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Aisee walikutukana na kukulaani kama nawaona midomo ilivyokunjamana. Ha ha ha ha haaa
 
Back
Top Bottom