ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,449
- 89,848
Kweli watu tuko tofauti yaani niwe na mchumba afu nigundue anatoka na mtu naanzaje kuendelea nae kwa mfano,watu wa dizaini hii ndio huwa mnajinyonga wanawake ni wengi kwa nn kulazimisha kumuoa mtu hakutaki? Mimi hata wife tunamalizana kwa amani unless sijajiridhisha aiseeIla mtu kama hakupendi kwa nini akuite kwake? Mwenye kosa ni huyo mwanaume, ukute haeleweki na wewe unaelewaka sema ni Mume wa Mtu, kama dini inaruhusu muoe na yeye, ila huyo mwanaume aache kususa susa kama binti
Habari za eid
Kuna binti niponae kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa toka mwaka huu uanze. Nimekuwa nikimpenda sana kiasi cha kujitoa sana kifedha na ki hali kwa muda wote huu.
Lakini binti amekuwa akinisisitiza kuwa yeye ni mchumba wa jamaa fulani na wanasubiri ndoa tuu. Hiyo hali haikunirudisha nyuma kwa mapenzi niliyokuwa nayo kwake.
Juzi jioni Baada ya kutoka kutafuta Ugali wa watoto nikampigia bint kuwa niende kwake au yeye aje kwangu. Binti akasema niende. Basi bila kusita nilifunga safari nikaenda. Tukawa kwake akapika tukala
Hamad mida ya saa4 mlango ukagongwa. Sikuwa na wasiwasi kumbe ni mchumba wake. jamaa akaingia ndani akanikuta nimekaa kwenye sofa, jamaa akaniangalia akaniuliza hivi bado unaendelea na mchumba wangu?? Mm nikawa kimya jamaa akaingia chumbani kwa mwanamke akabeba vitu vyake na kuondoka. Mm nikabaki na yule mwanamke.
Amelia usiku kucha na kunitupia mm izo lawama. Asubuhi jana jamaa ameambatana na mshenga wake wameenda nyumbani kwa akina Binti kudai mahari. Ndugu wa mwanamke wameomba jamaa na mshenga waende Jumamosi ili kikao cha familia kilichopokea mahari kikutane. Baba na mama ya binti wameshindwa kumtuliza jamaa ili wayamalize. Jana jioni nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mzazi wa binti, niliongea nae aiwa analia sana. Nimeomba leo niende nyumbani kwa akina binti nikawasikilize wazazi wake.
Nimemuuliza binti kuwa niende kwao au nisiende binti hataki kusema. Nikampigia dada ake binti kuwa vipi niende kwao?? Dada yake akasema niende.
Hapa nilipo najiaandaa kwenda. Ni mkoa jirani. Ni mwendo wa masaa 4 tu ntakuwa nimefika.
good morning kwako!Naomba ukalipe wewe mahari na uoe mazima
Kwahiyo unataka kuniambia matatizo yanayonikumba saivi yanaweza kuwa ni sababu ya babu yangu??
Mimi sina ugonjwa wowote wa kurithiYeah. Unadhani magonjwa yako ya kurithi umeyapata wapi?
Tabia zako mbaya unafikiri umezipata wapi? Au Unadhani wewe ndio muasisi wa hizo tabia?Mimi sina ugonjwa wowote wa kurithi
Mkuu umeiamini hiyo storiKweli watu tuko tofauti yaani niwe na mchumba afu nigundue anatoka na mtu naanzaje kuendelea nae kwa mfano,watu wa dizaini hii ndio huwa mnajinyonga wanawake ni wengi kwa nn kulazimisha kumuoa mtu hakutaki? Mimi hata wife tunamalizana kwa amani unless sijajiridhisha aisee
Hivi buda ukifahamu nakula mwanamke ambaye ni dem wako na una malengo ya kumuowa na nikakufuata tujadili utaendelea kuwa na hilo limwanamke?Anachotakiwa kufanya ni kuongea na mwanaume mwenzie, amuunganishe na binti kisha achape lapa.
Akifanya hivyo, familia zote mbili zitamheshimu mno.
Akatafute wa kwake, wanawake wengi hivi halafu anakuja kushiriki dhambi ya kutenganisha wachumba kwa makusudi
Buda huyu jamaa kafosi kingi, huyo manzi hakuwa na time naye. Ndiyo maana alimchana live, ajue kabisa hana malengo naye.Hivi buda ukifahamu nakula mwanamke ambaye ni dem wako na una malengo ya kumuowa na nikakufuata tujadili utaendelea kuwa na hilo limwanamke?
Au unaweza kunisikiliza? Wallah utakuwa Boya, fala dunia nzima na utaendelea kuchapiwa mpaka mwisho wako kama utakubaliana na huo upuuzi.
Sijui kwanini kadri siku zinavyozidi kwenda nakuwa mkatiri
Nadhani kamaanisha jamaa aende na pampasi nyingiMzee hiki ni Kilingala??