Nimeuziwa Vocha Fake ya AIRTEL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeuziwa Vocha Fake ya AIRTEL

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Uswe, Apr 19, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii ni barua yangu wa watu wa airtel baada ya kuwa nimeuziwa vocha fake.

  Dear sir/madam

  I am your customer with telephone number xxxx-xxxxxx

  On 17[SUP]th[/SUP] April 2012 bought airtel voucher with serial numbers 308000807079

  I am getting "The Voucher Activation Code you entered does not exist'' when try to recharge.


  1. I immediately took the voucher back to a person who sold it me, he said he can't give me refund the money also can't replace the voucher because it was not his fault.
  2. I called number 100, which is your customer service, after waiting for almost twenty minutes, customer service officer came online, after I started explaining to this officer, without even fully understanding what exactly was my problem, he was busy trying to cut my explanations short, he then told me to turn off the phone and it will be ok after I turn it on again…..and it wasn't
  3. I called the customer service again, and after another more than 20 minutes of waiting, the customer service officer asked me for a serial number, he checked and told me to visit any of your customer service centres.
  4. Today the 19[SUP]th[/SUP] April, I went to your mlimani city offices, after explaining to your customer service officer, he checked and said the voucher you have isn't ours because it is not in our system, I asked him what now can I do, his answer was simple take it back where you got it.

  I am all at sea, I don't understand why I have to suffer this much for buying a recharge voucher, if the voucher I bought was fake, I expexted airtel would be thankful that someone is giving them report, I thought airtel would take appropriate measures, I was very wrong, by telling me to take the voucher to a person who sold me, airtel is kind of withdrawing herself from the case, in a way airtel is saying it is not responsible for whatever their sales people are doing.

  Halafu nika-attach ni hiyo voucher, kwa reference zao,
  kama kuna mtu anafahamu nambari ya simu au email address ya mtu anayefanya kazi airtel naomba aniwezeshe ili niweze kufatilia, tatizo hapa sio mimi kuingizwa mjini, tatizo ni kubwa zaidi, kama kuna vocha feki mtaani, nimeipeleka airtel nao wanakili kwamba hiyo vocha ni feki, lakini wanaishia kuniambia nenda kamdai aliyekuuzia ili akurejeshee basi hapo kuna issue
   
 2. P

  Praff Senior Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole, umeingizwa mjini.
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nimeibiwa Praff, lakini hawa wenye mitandao yao viburi sana, hata taarifa hawataki kuzifanyia kazi
   
 4. Godee jr

  Godee jr JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 964
  Likes Received: 811
  Trophy Points: 180
  next time tumia Kiswahili kaka, hicho kithungu kina wenyewe
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mmary mi si nadhani huko airtel kuna wengine wametoka sijui siera leon sijui wapi , kwa hiyo nikadhani hicho kilugha ndio watakielewa
   
 6. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Kila siku unashauriwa uhamie Airtel, mitandao mingine ni bogus!
   
 7. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kiswahili vipi? maana hii lugha ya watu ulivyoiandika????
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mwenye Airtel akisikia umetendewa hivyo na staff wake kitakachofuata ni kuwafutilia mbali.
  Umewasaidia kupata kibaka wao matokeo yake wanakutreat that way!
  Watakuwa wanahusika kutengeneza vocha feki ambazo haziko recognized in their systems
   
 9. d

  damcon JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  duh:ni kweli mkuu ata me nahic hivyo
   
 10. U

  Uswe JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  leo, mida ya saa saba mchana, nimepigiwa simu na mtu kutoka airtel, akajitambulisha na akaniambia kwamba wamepata barua yangu, akanishukuru kwa taarifa pia akanipa pole kwa usumbufu niliopitia.

  akaniambia kwamba angependa kuja ili nimpele kwenye hilo duka nililouziwa hiyo vocha, nikamwambia muda wowote niko tayari kumpeleka, akaniambia atanipigia badae, hadi sasa sijasikia kitu, wacha nisubiri nione kama ntasikia kitu kutoka kwao kwa hizi siku mbili tatu
   
 11. U

  Uswe JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mrejesho ni kwamba, airtel wamepata barua yangu, wameniwekea mkwanja katika simu na wamesema wanafatilia ile fake iliingiaje sokoni
   
Loading...