Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

View attachment 2413649
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.

Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.

Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?

Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Utakusaidia kusafiri nyakati za usiku@Mshana
 
Kama ndio hiyo picha anaonekana kama fisi... masikio, mkia na miguu ya nyuma na mgongo...
Utakuja wekwa matatizoni, huyo ni nyaraka ya taifa..
 
Waraka=1
Nyaraka=2
Waraka (kwa Kiingereza: document) ni hati yenye taarifa maalumu. Kwa kawaida, siku hizi waraka unaandikwa katika karatasi.

Waraka wa karatasi.
Katika Biblia ya Kikristo mna nyaraka mbalimbali ambazo pamoja na barua zinafikia idadi ya 21, kwa mfano: Waraka kwa Waebrania.

Katika utarakilishi, waraka pepe (kwa Kiingereza: electronic document) ni hati pepe inayotumika katika tarakalishi. Waraka pepe ni kama waraka wa kawaida ila data ni za elektroniki.
 
Kama ndio hiyo picha anaonekana kama fisi... masikio, mkia na miguu ya nyuma na mgongo...
Utakuja wekwa matatizoni, huyo ni nyaraka ya taifa..
Nyara in English Government Trophies.
Mazao ya maliasili. Wanyama pori, ndege wa angani na porini, miti asilia na baadhi ya samaki walio hatarini kutoweka ambao ni marufuku kuvuliwa
 
Back
Top Bottom