Wachina sio watu...kuna uzi huku special wa subwoofers na music system watafute wale jamaa wakusaidie namna ya kupata Card nyingine, au kuisuka hiyo kama inawezekana.hizi nahisi hua zinamaanisha WAVE mawimbi ya sauti
Ni lugha za biashara hizo. Spika hii haiwezi kufikia hata 5000W sembuse 80,000W hata peak power haiwezi kufika huko.80,000W hivi huwa ni kweli hizi wattage 🙌 maana speaker imeandikwa output 20W x 2 kwaio 40W.
Shukrani. TBS wanakwama sana hapa. What if mtu amechukua kwasababu ya hiyo power ilioandikwa hapa kumbe hata theluthi tu haifiki.Ni lugha za biashara hizo. Spika hii haiwezi kufikia hata 5000W sembuse 80,000W hata peak power haiwezi kufika huko.