divalicious
Senior Member
- Mar 1, 2011
- 112
- 31
- Thread starter
- #41
Nimekusikia asante though sa nyingine najisikia sijui kumpigia, ila afta ushauri na encouragements nilizopata hapa najisikia much betterPole sana. Huu ndo muda wa kujipima jitahidi usichukue hatua yeyote sahvi tulia kwanza mwombe mungu utapata majibu. Usimulize chochote.