kuwa makini usi give up mapema yamkini anakujaribu tu akuone reaction yako au labda kuna kitu umemkera akakwambia hivyo makusudi..........jaribu kuongea naye ikishindikana jaribu kutumia watu ili kuwasuluhishaMi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k yaani he was agud man tulienjoy nakupendana, siku kama nne hivi zilizopita nashangaa anakuja na kuniambia kuwa ana mchumba alikua naye b4 me na muda wa kuoana umefika, mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa hakuonyesha dalili za kuwa na mtu hakutaja na alikuwepo whenever I needed him, im hurt beyond... sijawahi jisikia hivi moyo unauma kuliko ambavyo nimewahi kutuma, I feel confused sijui cha kufanya sijui jinsi ya kureact. Ndo nikaona labda nijimwage hapa lbd itasaidi maana zimepita siku kama tatu nne sioni relief.
Kama wewe ulishawahi "kuutoa moyo wako kwa mwanamke", kwa hakika haiwezekana kuwa " bado ungali hai "...!
unless kama huyu lara 1 hana kazi ya kufanya ila kama yupo bize na kusaka fumba, huyu mwanaume ni mdogo sana tena ni wa kudharauliwa kwa namna ya ajabu. siku zote huwa ninasema ukombozi wa mwanamke ni mfuko wake baasi. Bazazi akikuletea za kuleta wewe mfukoni geji inasoma, unazidi kujipendezea na kuish maisha mazuri tu. mwanaume sio mtu wa kuendekezwa na kila siku akikuumiza ukilia na kusema nina revenge yaani utakuta husongi mbele una kazi ya kukodi matarumbeta kama Zinduna kusuta watu.
mume wangu wa kwanza ni kazi yangu, so kama wewe ukileta za kuleta mm nasepa na nabaki kukutizama tu.women shld stop being down headed, in life one mistake is one goal,you come in this side you go through in the other side.
AhAhahahah, hizo ni dalili za kufurastrate tu! Moyoni umeumia kumegwa na kuachwa then unajifariji kwamba ulikuwa unamchuna, ahahahahaaaaa Mdogo wangu Lala1 unachekesha!
The best way mtu akikukosea may be amekumega na kukuacha mwache usimuulize chochote zaidi ya 'kumshukuru' kwa alichokutendea, basi!
Kwa type yako najua unachukua zaidi mazombi, nadhani hujamegwa na wanaume watukutu/makuli, siku yako itafika tu na kukwama kwa dume utakuja hapa na uzi ukiwa mpole?!
Sharobaro tu alikuingiza mkenge hadi akakuchuna baada ya nyinyi kunywa wine ya kichina akajiliza ukadhani ni zombi kumbe ni toto la mjini! Ahahahahaaaaaa Lala1 Dogo langu!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Anakutishia tu huyo ili aone reaction yako, unjua sasa wewe ufanyeje nenda pale kwake anapoishi tishia kujiua kwaajili yake, atabadili msimamo wake. Nakuona kweli uanamenda
bado una safari ndefu sana jikaze,usiendekeze kuumia,mpaka utakapofikisha miaka 35 ndio utakuja elewa kumbe ulikua unapoteza muda wako mwingi katika mapenzi.komaa soma tafuta kazi ya kueleweka jipange kimaisha,mapenzi kuachwa na kuacha is a daily drama.mi nna 35 sasa nshaacha na kuachwa km mara 50 hivi.nshakuwa sugu:bowl:
Mmmh wewe kiboko kweli umekuw sugu dah
Mtoto wewe full mashtiti
Hivi kuna watu bado wanapenda wanaume kwa roho, akili na mwili mzima? Maajabu haya pole mwaya
Ai wewe mbona wanionea?
Mwenyewe nashanga na akili zako umpende mwanamke kwa lipi haswa?
Ha ha ngoma droo eehh poa
Unavyo deka mi hoi hapa
Siku hizi mwendo wa kutamani tu
Mwanamke kudeka haswa ukidekezwa