Nimeumizwa


******************KUBWA LA MAFRIEND (DIE TRYING BEFORE U GET RICH )******************


unaonaje hapo???

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! HIYO ITAMFAA MLETA THREAD manake ndo itikadi zake KUSAMEHE na kuwa na moyo wa mshumaa kumulikia wengine huku anaungua mwenyewe!!!!!!!!!!!!!
 

AMEN!!!!!!!!!!!!!! Thats what im talkin abt!!!!!!!!!!!!
 
pole xana dada amefanya vibaya xana kukupotezea muda wako but ucjal mwombe Mungu utampa mwenyewe mapenzi ya dhati
 
akija mwingine usikubali mlale naye mpaka akuoe.

kha!!! wee unawajua wanaume unawasikia!!??? usipotoa mbunye ndio usahau kabisa kuolewa...nani anataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia ?
 
akija mwingine usikubali mlale naye mpaka akuoe.

kha!!! wee unawajua wanaume unawasikia!!??? usipotoa mbunye ndio usahau kabisa kuolewa...nani anataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia ?
 
Pole! Wewe si wa kwanza na huo hautakua mwisho wa maisha. Infact huo ni mwanzo sasa wa maisha. That is PAST na it doesn't have to ruin your present and FUTURE!
Pokea ushauri wa wote waliokushauri kuyachukua kama yalivyotokea kama njiwa , snowhite na yafananayo. Jipanguse na songa mbele. Hata Mungu hapendi ukae chini ukilia lia kisa ka-mwanadamu kenzio! Save your tears for GOD, kama ikibidi kulia sometimes. (In Prayers or even Praises & Worship). Kisasi huwa ni cha Mungu,if you know what I'm saying. Tupa kule maushauri ya visasi; hayatakusaidia lolote zaidi ya kukupotezea muda na energy tu dadaa! Jiulize ukishamfanyia matimbwili yote hayo SO WHAT? Kwani akikoma na mafujo yako ndio atarudi kwako? Na akirudi kwako does it make him a better man then? If at all you really want "revange", kamata ushauri wa @muhinda
 

Mwambie hata mimi nilikuwa na mchumba ila nilishindwa kukuambia tunatarajia kufunga ndoa mwezi ujao, utaona naye atachanganyikiwa, akikuuliza ni nani usimpe details.
 

Hii nimeipenda!kila cku cc ndo wa kuumia mpaka lini?
We hav 2 find a way......
 
kha!!! wee unawajua wanaume unawasikia!!??? usipotoa mbunye ndio usahau kabisa kuolewa...nani anataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia ?

Duh!kazi ipo,ss tutawapa wangapi?mpaka mtu uje uolewe c balaa
 
Safi Lara 1. Umenena ya ukweli kabisa. Mtu huwezi chezea maisha ya awe mwanaume au mwanamke kwa miaka yote hiyo halafu eti useme unaoa/olewa. Yaani nii kumchafua kwa maskendo yote!!! Tena andika tamko kabisa sambaza kwa watu wake muhimi akiwemo huyo mtarajiwa. Chafua chafuzi hilo.
 
tulia angalia kwanza maisha yako, wanaume hawa baba yao ni mmoja style tu zinatofautiana usijeingia kwenye maumivu mengine tena... si unajua tulivyo na maneno matamu na ahadi za kukupeleka peponi, kuwa makini sasa hayo maumivu ndio fundisho lenyewe jipange kuanza ukura mpya.
 
Duh!kazi ipo,ss tutawapa wangapi?mpaka mtu uje uolewe c balaa

hahaha sijasema kuwa uwape mbunye kila anayekutngoza....just make sure mume wako ni mtu wa tatu na wamwisho kumega mbunye yako....wanaume kukuomba utamu ni a given wala halikwepeki ...sasa tumia akili zako yupi uumpe na yupi hastahili kupewa
 

lara 1 post zako ni burudani tosha!we kweli kubwa la maadui
 
Ushauri wako mzuri. But pia awe tayari kutake risk; chochote atakachokutana nacho kwenye ndoa akubali tu. Maana ndio hajatest mambo!

akija mwingine a akubaliusikubali mlale naye mpaka akuoe.
 

Hu tha **** r u pia?.
1st hao ma ex wako wote machoko haiwezekani eti upo ar wahame sijui church wahame bench,u kidding me kwani unawalipia sadaka?au biere unawanunulia ww?.na huo ubabe wako kwa nn hukulta wakat wanakumega ukaacha wakakukula mchele halafu wakakuacha??u better b ****in kidding me eti unajisifia mi mababe,wakati umetoa mchele kiulaini
 



Hv we dada unaongea utoko wa aina gani??hv umejiuliza hata huyu dada kabla ya kua na huyu kaka kawaacha machizi wangap??kwani ni lazimaaolewe na huyu kaka??unajuaje kama kuna mengi kayafanya na huyu kaka kavumilia ila huyu dada hajaweza kusema??watu wanaachana kwenye ndoa itakua hizi bf n gf zetu??y r u tht biased?unamkomoa nani??tatizo mnajiona malaika nn??u jus hav to concentrate on ths status sio hzo zako,una mentality chafu sa na ndomkitu kilichowafanya wakuguse na watambae
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…