Nimeumizwa sana na mapenzi

Nenda nae taratibu...on the low key! Watu kama hao hawapendi kutokewa in public
Changamoto ni kuwa sifahamu njia nyingine ya kumpata tofauti na hapa maana hata private msg yake ina solex moja nadhani nililiona kwenye movie ya titanic wakati wanavunja kuchukua life jacket.

So no way out i can reach her[emoji29]
 
Mkuu wewe utakuwa waziri wa viuno na mambo yaliyomo, itabidi na mimi nikakuombe code kuna mbunge flani wa chama cha mapinduzi namwelewa [emoji28]
[emoji23][emoji23]Dah! acha utani kaka mwisho njiwa wangu akija hapa ataona tunafanya kidding.
 
Mpaka sasa hauna marafiki wa kubadilishana nao mawazo?
 
Changamoto ni kuwa sifahamu njia nyingine ya kumpata tofauti na hapa maana hata private msg yake ina solex moja nadhani nililiona kwenye movie ya titanic wakati wanavunja kuchukua life jacket.

So no way out i can reach her[emoji29]
Hilo kufuli halikatiki hata kwa moto wa gesi! Sema uko vizuri lakini? Maana mtoto Cariha wenge lake nalijua mimi...tusije tukalianzisha kumbe huna mamlaka! Triple C's unazo?
Car...Cash..Crib
 
Hilo kufuli halikatiki hata kwa moto wa gesi! Sema uko vizuri lakini? Maana mtoto Cariha wenge lake nalijua mimi...tusije tukalianzisha kumbe huna mamlaka! Triple C's unazo?
Car...Cash..Crib
Hapo sasa ndo pagumu
Me mwananchi wa kawaida tu sina hivyo.
 
Huuu sio.ushauri.Kabisa..
 
P
Pole njoo pm pleas
 
Wanawake wenye umri wa miaka 26 - 30 huwa wanakuwa kwenye wakati mgumu sana hasa wanapokosa mtu sahihi wa kuweza kumchumbia.

Na umri huo ukipita ni rahisi sana kuamua kumzalia mtoto yeyote anayejitokeza, mwisho wa siku unakuja kuitwa singo mother.
Pole mtoa mada.
 
Ila njoo pm au nakuja pm mamaa
 
Yani watu wawili tuu ndio unapata stress hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…