Hebu niachie bwana wangu wa majeshi atulie basta๐๐๐Af we shenz umenikimbia toka siku ile sasa this xmas nakuja hapo Njiro๐ huyo mvaa kanzu mwambie ajiandae kisaikolojia
Kwa mwendo wa ngiriHebu niachie bwana wangu wa majeshi atulie basta๐๐๐
Fanya chap kwa haraka niko hapa kontena
Sio kwa mwendo wa alien ๐ฝKwa mwendo wa ngiri
Mkuu hata mimi bado nalia na carihaTatizo lao hawana macho ya kuona kama sisi. Unaeza ukawa mwema akaleta utoto tena.
KwaniniWe dada unashida mahali
Nipe code kaka, huyu binti kanifanya nimekua weak sana napiga kelele humu kama zuzu, naonekana hamnazo.Hahahah huyo mtoto ni mmbabe kichizi[emoji23][emoji23][emoji23] sema ipo namna
Asante sana kwa niaba ya mleta uzi namimi piaPole sana ni kumuomba Mungu hakuna kukata tamaa.
Nenda nae taratibu...on the low key! Watu kama hao hawapendi kutokewa in publicNipe code kaka, huyu binti kanifanya nimekua weak sana napiga kelele humu kama zuzu, naonekana hamnazo.
Not every venture ends in climax, a fact well known to many women. PoleMi binti miaka 26, elimu yangu nimejariwa kufika chuo kikuu. Shida yangu moja nimeshakuwa na mahusiano na watu wawili wakati tofauti. Nina bahati mbaya ya kupata wote maplay boy kiukweli nimekataa tamaa na mahusiano kabisa najiona mpweke Sanaa nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo jinsi zote mbili kwa mahusiano saivi kiukweli sihitaji nataka nijipe angalau miaka miwili kwanza
Mkuu wewe utakuwa waziri wa viuno na mambo yaliyomo, itabidi na mimi nikakuombe code kuna mbunge flani wa chama cha mapinduzi namwelewa ๐Nenda nae taratibu...on the low key! Watu kama hao hawapendi kutokewa in public
Naskia kuna connection ya Matiko huko mitandaoni...Hebu waja nifanyieni wepesi namie niione. Naskia MB huyo kamwaga miuno kama pangaboy bovuMkuu wewe utakuwa waziri wa viuno na mambo yaliyomo, itabidi na mimi nikakuombe code kuna mbunge flani wa chama cha mapinduzi namwelewa ๐
Tatizo kubwa linaanza kupenda hao maply boy ukiwa na iman atabadilika..ila nakuombea utapata akupendaeMi binti miaka 26, elimu yangu nimejariwa kufika chuo kikuu. Shida yangu moja nimeshakuwa na mahusiano na watu wawili wakati tofauti. Nina bahati mbaya ya kupata wote maplay boy kiukweli nimekataa tamaa na mahusiano kabisa najiona mpweke Sanaa nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo jinsi zote mbili kwa mahusiano saivi kiukweli sihitaji nataka nijipe angalau miaka miwili kwanza