Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,312
- 40,137
- Thread starter
- #21
Asante mkuu ila ni kaz ndo maana nmeshare
Kwahyo ungemuangalia tu analia hapo?Hahahaha babu hahaha hapana kwa kweli
Na wewe tena?Nimeonewa sana,nimedhalilishwa sana,
Boss acha watu watamchamba alafu utampoteza mazimaAsante jomba sijui nifanyeje au nwaambie jina lake LA social network mkamwambie ukwel?
Pole sana siku zote mwanamke akumbuki ulicho poteza ila anatizama atakavyo pata ili akipotezeWakuu alchonitenda mama swalehe ni kitu kigumu mno nlimpenda huyu mwanamke Hamnaa kitu atake sijampa toka tukiwa wanafunz nshawah kubal kuchapwa viboko na staff sabab ya kumlinda nlimpa kila kitu ambacho mwanamke anahitaji upendo wa kila namna wakuu lakini siamini alichonfanyia wakuu kuumizwa na mapenz ni hatari mno lusy elly popote ulipo jua umejeruh huu moyo sijui mungu atakufanya nini ila nakwombea baraka aisee love hurts!!!!
Babu, ningemshauri kama analia alie sana alie kwa hakika, then ndio namwambia relax yote ni maisha na maisha lazima yasongeKwahyo ungemuangalia tu analia hapo?
Hahaha daah naona mauzoefu[emoji4]Nenda sehemu wanapiga mziki, nunua maji anza kucheza huku unakunywa maji yako, ukimaliza chupa ya tatu unaanza safari za chooni kupunguza maji. Hata wakipiga nyimbo mbaya wee cheza tuu hadi wafunge.
Ufanye hivo kila unapoona moyo unazidiwa na uzito, angalizo.... utaokutana nao huko hata wawe wema vipi kwako usianzishe urafiki hadi uhakikishe umemsahau kabisaaa mama Swalehe.
Mi ilishanitokea sababu haikuniua ilinikomaza!sasa hivi i dont give a fukNa wewe tena?