Inaonekana huna shughuli ya kufanya wewe...
Ni nini lilikua lengo la wewe kujitongozesha huko facebook?
Huwa tunaishi mara moja tu, kukosea sio kipimo cha kushindwa bali ni dalili kuwa angalau kuna kitu umejaribu...
Tunza mtoto huyo acha kuhangaika na watu wasiojua thamani ya maisha yako...
Inaonekana huna shughuli ya kufanya wewe...
Ni nini lilikua lengo la wewe kujitongozesha huko facebook?
Huwa tunaishi mara moja tu, kukosea sio kipimo cha kushindwa bali ni dalili kuwa angalau kuna kitu umejaribu...
Tunza mtoto huyo acha kuhangaika na watu wasiojua thamani ya maisha yako...
Wewe inaonesha unataka bwana wa kukusaidia kulea nikupe no zangu? but pole!
Mchezo wanaupenda lakini matokeo hawayataki. Hiki kizazi kina wazimu sana.
Ova
Hizi sapraizi za kutupima hizi matokeo yake ndio hayo. Asingeweza kuwa mjinga na ku-expose maisha yake. Pengine alijua ni nani anawasiliana nae. Pole sana mpwa
Halafu mtu mmeshaachana.......unamfuatilia wa nini........?......hakuna watu wengine.........Dr ki ukweli mimi watu wengine huwa wananishangaza sana............hujazaliwa nae unamganda wa nini.........tupa kule.......YOLO...........
roho imeniuma sana
nimezaa na aliyekua mchumba wangu, kutokana na matatizo ya hapa na pale hatukubahatika kufunga ndoa japo tuliachana vibaya lakini nilijipa moyo tu.
nilipojifungua nilimtaarifu alinipa hongera japo hakuhudumia wala matimizi hakutoa ila alitoa jina na hatukuwasiliana tena na ni miezi 2 sasa.
kabla alikua anamtoto wa miaka 7 alizaa na mwanamke mwingine na walisha achana pia.
leo nimetumia acount ya mtu mwingine fb nimechart nae mpaka kafikia kunitaka uchumba katika kukibali nikamwelezea story feki ya maisha na yeye akaniambia.
kilichoniuma hamtambui mtoto wangu kasema anamtoto mmoja tu!!!
nimeumia sana mungu shahidi sijawahi kumsaliti na yeye analijua hilo sikuwahi kabisa kumchanganya na mwanaume mwingine mungu wangu wa mbinguni ni shahidi.
hata kama mimi hanitaki kwa nn asimtambue mtoto wake? asimtunze sawa lakini ajue ni mtoto wake. nimeumia sana jmn!!!
Mama pita,samahani kama ntakuwa nimekuchanganya,sio wewe uliyewekaga thread Kuwa unatafuta baba mlezi atakayekuwa tayari umpe mtoto akishazaliwa,na wakati huo ulikuwa na ujauzito wa miezi 8?na tukakushauri cha kufanya,sio we we kweli? Mi sio mfukunyuaji mzuri wa thread zilizopita ila kumbukumbu zangu zinaniambia kama ni we we!kama nimejichanganya utanisamehe!