Pole sana kiongozi, hapa kilichopo ni kufanya maamuzi magumu ya kukataa kabisa watawala wenye kujenga matabaka, makundi na utengano katika jamii yetu. Nchi moja lakini kuna wenye kuvunjiwa nyumba na wasioguswa. Kwa matabaka haya kulazimishwa katika jamii ya watanzania nadhani ni wakati sasa kupinga kwa nguvu utawala huu usiotutakia mema watanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.