Nimeumia kwa kauli hii

Nimeumia kwa kauli hii

Kila awamu na ahadi yake wanaolalamika saiv enzi za JK waliahidiwa hawatabomolewa sasa na hao wanaahidiwa hazitabomolewa watabomolewa awamu ijayo. Kila enzi na zama zake

Sijawah ona sehemu pana bomolewa paap na kujengwa hapo hapo haijawah tokea inachukua muda kidogo
Hujajibu bado.

Nimekuuliza kwa hiyo mkuu anawadanganya hao watu?

Kuna ulazima gani wa kubomoa kipindi ambacho huna mipango ya kufanya maendelezo haijawa tayari? Ikiwa ni wewe unasema upo kwa ajili ya masikini.
 
Kanda ya ziwa wao hawafai kubomolewa
 
Oyaaaa mbona umeniganda hivyo khaaa kamuulize mwenyewe,wanaume wa dar bana chips mle nyie kulalamika mje mlalamikie mitandaon andamaneni sasa kuonyesha mmechoka
Hujajibu bado.

Nimekuuliza kwa hiyo mkuu anawadanganya hao watu?

Kuna ulazima gani wa kubomoa kipindi ambacho huna mipango ya kufanya maendelezo haijawa tayari? Ikiwa ni wewe unasema upo kwa ajili ya masikini.
 
Kheee majanga yapi tena jamani niliyoleta ebu niambie tu hapa hapa ile mmelalamika nawatesa sana na mapaja
No sio sababu hiyo wala ,ila ilileta ugomvi, any way kuna vitu siwezi ongea hapa ila ukisoma nyuzi zangu za nyuma utaelewa
 
Makubwa haya sasa picha ya Irene kweli ya kukushtua na wakati zipo tu zinazagaa

Haya sasa hivi nimejiweka mwenyewe kumbe ule uzi ulikuwa unanihusu mbona nilicomment hujaniuliza sasa
Nilipanga kukuuliza tukionana
 
Makubwa haya sasa picha ya Irene kweli ya kukushtua na wakati zipo tu zinazagaa

Haya sasa hivi nimejiweka mwenyewe kumbe ule uzi ulikuwa unanihusu mbona nilicomment hujaniuliza sasa
Usijali tukionana tu kule unapopendaga kwenda ntakwambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom