View: https://www.tiktok.com/@mamab_oficial/video/7558468367993130296
Hebu someni hizi comments jinsi wanavyopotoshana,
Amani gani unayoizungumzia hapa?Achana nao. Hawajui kuwa Amani ikipotea wao huwa ni katika waathirika wakubwa. Sitaki hata kuimagine athari ya vita au machafuko kwa wanawake. Mitandaoni huku wakati mwengine watu wanajiandikia tu bila kufikiria vizuri.
Tuelezee amani ilivyowanufaisha Mzee Ali Kibao, Mdude, Ben Saanane, Deus Soka, Azory Gwanda, Humphrey Polepole nk..Achana nao. Hawajui kuwa Amani ikipotea wao huwa ni katika waathirika wakubwa. Sitaki hata kuimagine athari ya vita au machafuko kwa wanawake. Mitandaoni huku wakati mwengine watu wanajiandikia tu bila kufikiria vizuri.
Acha uongooo!!!Achana nao. Hawajui kuwa Amani ikipotea wao huwa ni katika waathirika wakubwa. Sitaki hata kuimagine athari ya vita au machafuko kwa wanawake. Mitandaoni huku wakati mwengine watu wanajiandikia tu bila kufikiria vizuri.
Amani gani unayoizungumzia hapa?
Wewe ndio unaonekana kufikiria kwako ni shida.
Umesahau dear!Wanachosema ni kweli....
Hata hii no reform no election ninaanzia kwanza ndani ya fikra na kuanzia ngazi ya chini kabisa.... Yenyewe tu hawajaielewa. We wape habari zao pendwa
1. Wape habari za mkongo
2. Simba na yanga
3. Style za kumkojoza
4. Umuhimu wa trako
5. Mbinu za kutokuhonga
6. Usioe single Maza
7. Oa bikra
9. Ni ujinga kutoa mahari
10.Niliweka mbele akachomoa akaweka nyuma!!! Daaah!! Ikawaje¡?
Wanachojua ni kupinga ushogaa.Huo ndio ukweli, nchi yetu ina wanaume wapumbavu na waoga mpaka inashangaza.
Kudai haki ni kuondoa amani na kuleta vita??Achana nao. Hawajui kuwa Amani ikipotea wao huwa ni katika waathirika wakubwa. Sitaki hata kuimagine athari ya vita au machafuko kwa wanawake. Mitandaoni huku wakati mwengine watu wanajiandikia tu bila kufikiria vizuri.
Tuelezee amani ilivyowanufaisha Mzee Ali Kibao, Mdude, Ben Saanane, Deus Soka, Azory Gwanda, Humphrey Polepole nk..
😂😂😂😂 kwani uongo?.Duh wewe sio bure una lako jambo maana unavyopenda kuutaja huo ushoga kila wakati sijui kuna mahali unanufaika kupitia wao
Kudai haki ni kuondoa amani na kuleta vita??
Basi waweke sheria kabisa au kifungu katika katiba kwamba maandamano ni kosa la jinai.Wewe unaona kule ni kudai haki, lakini hiyo ni njia ya machafuko ambapo hiyo haki unayoidai unaikosa na Amani inapotea.
Vipi ukiwa na busara halafu na wewe ukaja kutekwa ukapotea baada ya kusema jambo ambalo watekaji hawapendi? Hiyo busara itakuwa imekusaidia nini??Mitihani kama hiyo kutokea haihalalishi kuivunja Amani yote na kuwaweka watu wote katika machafuko. Kuweni na busara.