Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
- Thread starter
-
- #61
Jidanganye hapo.Ndio maana tuna wasomi wasiojielewa ,yaani huyu tunamtegemea km taifa,lakini angalia kilichomjaa kichwani ni upuuzi tu,na wengi wa wao ndio wako hivyo
Wewe si unapondaga ke kwamba huwapi kipaumbele hahahahahah kumbe mzinzi tu
Kwa hiyo shahada yako uliyopata ni ya mapenzi?
😛😛Mtu kuwa graduate haimaanishi ni kiumbe wa ajabu asiyepaswa kufurahia ama kupatwa na matukio wayapatayo binadamu wengine wa kawaida. Don't take life too seriously, you will NEVER get out of it alive.
Pole Sana.Huyu mleta thread hakika hana degree.
Shukran kwa marekebishokupakua( download)
kupakia(upload)
Achana nae.Mtu kuwa graduate haimaanishi ni kiumbe wa ajabu asiyepaswa kufurahia ama kupatwa na matukio wayapatayo binadamu wengine wa kawaida. Don't take life too seriously, you will NEVER get out of it alive.
Mimi nilikimbia dakika Kama ya tano za tafraniHuu ugomvi niliuona pole sana chief kama ni wewe
Si mchezoBalaa sana
Safi Sana. Hongera kwa kunisahihisha mkuuNdugu msomi Umechapia somewhere upload nadhani ulimaanisha download
Yaani ilikuwa Kama kiama. Sema Wabongo kwa umbea hawajambo. Dakika watu walikazana. Na hapo ndipo nilipopotea Kama Dr Shika kule UrusiNilishuhudia hili timbwili asee kumbe ulikua wewe asee
Si mchezoDah kama movie vile
Asante kwa Masahihisho.unataka kuniambia kwenye sherehe yako ulienda na hao marafiki(ma miss,majirani n.k) lakini sijaona ndugu hapo imekaaje hapo ufafanuzi tafadhali
alafu pale sahihisha
kupakua=download
kupakia=upload
Ahsante Sana Kiongozi kwa kuandika Kama unanijua.Mtu mfupi anaegombaniwa na wanawake kutoka australia na chotara
Hongera kwa hadithi
Niko Serious.Kuna pahala unasema mahafaki ni kitu muhimu sana kwa nyinyi wasomi! Uko serious?