PesaNdogo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 1,994 Reaction score 1,294 Dec 22, 2015 #41 kulubule said: Mapenzi yamenifanya kuwa mpweke Click to expand... Kuna wengine wako kwenye mahusiano na ni wapweke vile vile, usitarajie kitokee kitu fulani ndio uwe na furaha. Wewe ndio chanzo cha furaha yako
kulubule said: Mapenzi yamenifanya kuwa mpweke Click to expand... Kuna wengine wako kwenye mahusiano na ni wapweke vile vile, usitarajie kitokee kitu fulani ndio uwe na furaha. Wewe ndio chanzo cha furaha yako
HaMachiach JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 3,448 Reaction score 6,211 Dec 22, 2015 Thread starter #42 PesaNdogo said: Kuna wengine wako kwenye mahusiano na ni wapweke vile vile, usitarajie kitokee kitu fulani ndio uwe na furaha. Wewe ndio chanzo cha furaha yako Click to expand... But mapenzi ni chanzo cha furaha au maumivu
PesaNdogo said: Kuna wengine wako kwenye mahusiano na ni wapweke vile vile, usitarajie kitokee kitu fulani ndio uwe na furaha. Wewe ndio chanzo cha furaha yako Click to expand... But mapenzi ni chanzo cha furaha au maumivu
PesaNdogo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 1,994 Reaction score 1,294 Dec 22, 2015 #43 kulubule said: But mapenzi ni chanzo cha furaha au maumivu Click to expand... maisha mafupi haya unaweza kujikuta umeyatumia kujionea huruma na kusubiria furaha inayotumbukia nyongo mda wowote.
kulubule said: But mapenzi ni chanzo cha furaha au maumivu Click to expand... maisha mafupi haya unaweza kujikuta umeyatumia kujionea huruma na kusubiria furaha inayotumbukia nyongo mda wowote.
HaMachiach JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 3,448 Reaction score 6,211 Dec 22, 2015 Thread starter #44 PesaNdogo said: maisha mafupi haya unaweza kujikuta umeyatumia kujionea huruma na kusubiria furaha inayotumbukia nyongo mda wowote. Click to expand... Uko right kabisa
PesaNdogo said: maisha mafupi haya unaweza kujikuta umeyatumia kujionea huruma na kusubiria furaha inayotumbukia nyongo mda wowote. Click to expand... Uko right kabisa
Aragorn son of Arathorn JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 787 Reaction score 832 Dec 23, 2015 #45 Yaani mimi nimelipie Rent mtu halafu alete anaanado, patachimbika babangu
Mussa waukweli. JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 534 Reaction score 319 Dec 23, 2015 #46 Pole xn ondoa mawazo kwa kuangalia movie uachane na huyo