Nimeulizwa Jinsi Yangu

umeona nini.....:shock::A S confused::A S confused:

aisee umenikumbusha jamaa aliyekua na kesi ya kubaka akaenda kwa mganga aondolewe nyeti zake ili ashinde kesi baada ya kushinda kesi kurudi anakuta mganga KAFA
 
Kabanga sizioni nyeti zangu
 
aisee umenikumbusha jamaa aliyekua na kesi ya kubaka akaenda kwa mganga aondolewe nyeti zake ili ashinde kesi baada ya kushinda kesi kurudi anakuta mganga KAFA

na wewe ndicho unachoogopa....! mwenzio niliwahi sema sina nguvu katika harakati za kukataa mimba, kilichotekea acha tu.... ila watu wabaya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…