ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Niliingia Shule Sijui A wala B lakini Mwalimu wangu alinifundisha Hadi nikajua Kuandika Kama hivi Navyo andika
Sio kila matatizo ya mwenza Wako lazima Umuache Sometime Mfundishe na Mbadirishe Hadi Awe vile kama Unavyo taka Kama walimu wetu walivgo tufundisha mpaka tukajua kusoma! Mwalimu wako angekuacha usinge kuwa hapa