Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,429
Kama penati. Nalog offTeh teh teh....uliubutua kama unapiga penati au mpira wa kona?
Yeye kafanya kusudi kwa kutumwagia mchanga na mie nimefanya jeuri kwa kuubutua mshipa wake ili atulie. Nalog offMshipa na kuwamwagia watu mchanga imehusianaje?
Hebu nifahamishe kidogo......
Yeye kamwaga ugali mie nimemwaga mboga. Nalog offulimwagiwa mchanga we ukapasua busha!!!!! mbona kosa haliendani na adhabu??? au ndo ulikua unalog in??
tunashukuru,nilishindwa kukimbia maana alianza kutumwagia sisi kwanza,ilibidi nirudi nyumbani kubadilisha nguo.nalog offPolen sie kwetu leo tumeamka na mvua!
Shukuruni mlipata basi na kuondoka kabla maumivu hajamuishia!
Hukufanya vizuri coz ulishajua ni mgonjwa wa kichaa na still ukampiga sehemu ya tatizo!
Bora na ww ungekimia tu na kumwacha na matatizo yake!
nakuambia naandamwa na matatizo kama nini sijui.Nalog offda siku hizi unavituko kama excellent.
umeona eh! Nalog offofisi ina maumivu si mchezo
hasira ndugu yangu kutoka kwangu mpaka kituo cha basi ni mwendo wa dakika 15,halafu nilikuwa nimeulamba kinoma halafu yeye kaja kuharibu kila kitu.Nalog offIngekua vp ulivyombutua angedanja? Hauoni ungenunua Madam kesi tena kwa mtu ambaye hata haumfahamu?
magwanda ndio nini? au unamaanisha sare za jeshi?Nalog offNna uhakika wewe utakuwa magwanda maana wao ndio wana sera za kupigana badala ya kutumia siasa.
magwanda ndio nini? au unamaanisha sare za jeshi?Nalog off