Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Jan 1, 2013 #1 Jino linaniuma sana wakuu,sina raha hapa nilipo!
fazaa JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 2,984 Reaction score 1,031 Jan 1, 2013 #2 pole sana.
Tetra JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 1,526 Reaction score 771 Jan 1, 2013 #3 Pole..Utapona
K kay2013 Member Joined Jan 1, 2013 Posts 5 Reaction score 1 Jan 1, 2013 #4 so kwanini usiende kuziba ama kung"oa?la sivyo litaendelea kukusumbua......jitahidi ukatibiwe....pole sana...
so kwanini usiende kuziba ama kung"oa?la sivyo litaendelea kukusumbua......jitahidi ukatibiwe....pole sana...
jouneGwalu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,696 Reaction score 1,807 Jan 1, 2013 #5 Pole sana Mpendwa! Vipi tayari ushaling'oa?? Au kama vipi mcheki Mizizi Mikavu akuelekeze dawa, usibebe maumivu ya mwaka jana bwana! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Pole sana Mpendwa! Vipi tayari ushaling'oa?? Au kama vipi mcheki Mizizi Mikavu akuelekeze dawa, usibebe maumivu ya mwaka jana bwana!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Jan 1, 2013 #6 Nenda hospitali mwaya. Pole
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,041 Reaction score 6,311 Jan 1, 2013 #7 Perry said: Jino linaniuma sana wakuu,sina raha hapa nilipo! Click to expand... Pole sana mkuu. Hata mimi dole gumba lilikuwa linaniuma sana ila baada ya kwenda hospital limepona. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Perry said: Jino linaniuma sana wakuu,sina raha hapa nilipo! Click to expand... Pole sana mkuu. Hata mimi dole gumba lilikuwa linaniuma sana ila baada ya kwenda hospital limepona. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums