Nimeu-MISS sana UJANA...!!!

Nimeu-MISS sana UJANA...!!!

depressed-black-man-getty590.jpg

Kweli ujana maji ya moto, leo hii ukiambiwa Mzee Mtambuzi ndio huyu, huwezi kuamini.......


Ndio maana sipendi kuamkiwa shikamoo, hiyo salaam inanikera kama nini...

shikamoo ankali mtamb..
 
Kumbe hapa wote vijana. Mnazungumzia mchele mchele na bahama redimed na viatu vya losso na kuna surual ziliitwa michael jacksoni zinafanana suruali za leo timbeland mavazi ya mwaka 90-95 .mie mnaniweka wapi nilie vaa mashati ya juliana na suruali za telemka tuzoze? Inaonesha wengi wenu hata ile sh 100 ya noti nyekundu hamkuwahi iona.
Hiyo mmasai tumeishuka ingawa haikuwa yangu, nilitumwa tu dukani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom