Nimetumiwa ujumbe wa kitapeli

Nimetumiwa ujumbe wa kitapeli

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
331
Reaction score
230
Nimetumiwa ujumbe huu sasahivi:
HABARI ZA SIKU NDUGU, ILE NAFASI ULIYONIOMBA KWA AJILI YA KIJANA KUJIUNGA NA JESHI IMEPATIKANA, MWANDAE AFIKE HAPA KAMBINI KABLA YA TAREHE 14.
Number iliyotuma: 0713375482 imesajiliwa tigo Pesa kwa Jina la Jacob Bwire.
Note:Wengi wataumia kama vyombo vinavyohusika havitaingilia kati
 
Ujumbe huo umeshatumwa kwangu mara tatu, cha kushangaza sijawehai kuwasiliana au kumwombea mtu kitu kama hicho, ila all the time nimempotezea tu maana nilijua ni uhuni na utapeli
 
Nimeshatumiwa mara mbili, mara ya kwanza ilikuwa mwaka jana.
Sina mtoto niliyewahi kumwombea kazi, hivyo sikumjibu kwa sababu nilijua ni wale wale!
 
Huo ujumbe hata kwangu umeingia. Ila TCRA wala hawashughulikii hili jambo wao wanangoja wanasiasa wapewe maneno ya shombo ndio wajitokeze.
 
Nimetumiwa ujumbe huu sasahivi:
HABARI ZA SIKU NDUGU, ILE NAFASI ULIYONIOMBA KWA AJILI YA KIJANA KUJIUNGA NA JESHI IMEPATIKANA, MWANDAE AFIKE HAPA KAMBINI KABLA YA TAREHE 14.
Number iliyotuma: 0713375482 imesajiliwa tigo Pesa kwa Jina la Jacob Bwire.
Note:Wengi wataumia kama vyombo vinavyohusika havitaingilia kati
Kuna ndugu yangu nae alisha wahi kutumiwa ujumbe kama huo kuwa makini njaa kali mtaani sasa
 
Maisha yamebana watu wanahangaika kwa kila namna mkono uende kinywani.
 
Huo ujumbe wanautuma kwa watu wengi mi pia niliupata
 
Nimetumiwa ujumbe huu sasahivi:
HABARI ZA SIKU NDUGU, ILE NAFASI ULIYONIOMBA KWA AJILI YA KIJANA KUJIUNGA NA JESHI IMEPATIKANA, MWANDAE AFIKE HAPA KAMBINI KABLA YA TAREHE 14.
Number iliyotuma: 0713375482 imesajiliwa tigo Pesa kwa Jina la Jacob Bwire.
Note:Wengi wataumia kama vyombo vinavyohusika havitaingilia kati

Bado hajakutapeli hapo, ungemsogeza kwenye kukutapeli, pengine kakosea number!
 
JWTZ walishalitolea ufafanuzi hilo suala kitambo mbona??
 
Mi mwenyewe nishatumiwa mara mbili huo ujumbe na kwa namba hiyo hiyo! Mara ya pili nilimwambia anifanyie mpango ila hakujibu
 
Back
Top Bottom