Nimetumiwa ujumbe "niambie wangu"

Nimetumiwa ujumbe "niambie wangu"

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,324
Reaction score
15,005
Msichana kanitumia huu ujumbe "Niambie wangu" najisikia kama niko Mbingu ya saba si mchezo, wasichana wa kibongo wanajua kutupagawisha kwakweli.
 
message kama hizo nafutaga bila ku-reply
 
Hilo tu ukajiskia mbingu ya 7? hapo angeongeza si ndo unamuhonga nyumba+ kadi ya benk?
 
Kesho Kuna nyama choma festival shauri yako
 
Shori kanitumia huu ujumbe ,,Niambie wangu" najisikia kama niko Mbingu ya saba si mchezo! Mademu wa kibongo wanajua kupagawisha kudadadeki!

Inawezekana hiyo ni group sms wewe ni wa 10 kupokea.

Yule mteule mwenyewe anaandikwa;
"Mambo John wangu"

Jifunze kustahimili mikiki mkuu pia kama unadanganyika hv vidogo ukikutana na mwizi akapitisha ndimi kwenye masikio akakupiga style moja inaitwa kishingo walahi unapoteza uhai within no seconds mkuu!
 
Back
Top Bottom