Nimetumiwa ujumbe "niambie wangu"

Nimetumiwa ujumbe "niambie wangu"

Shori kanitumia huu ujumbe ,,Niambie wangu" najisikia kama niko Mbingu ya saba si mchezo! Mademu wa kibongo wanajua kupagawisha kudadadeki!

Hahahahaha!!Hivyo tu niambie wangu ukajisikia mbingu ya saba!!Hehehe au huyo demu yupo kiwango sana eti eeeeeeeeeee!!Tafakari chukua hatua
 
Ndo mara ya kwanza kutumiwa msg kma hyo nn?? Ya kawaida sn aisee


Sent from my iPad using JamiiForums app
 
na wewe mjibu sema wangu... utasikia mambo c mazuri babyiii
 
nimecheeeka sana.hivi ndio umeanza kutumia simu mwaka huu?
 
Kujua Mapenzi ukubwani nishida saana.
 
Back
Top Bottom