Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
du hizi siredi za mwaka mpya, kwahiyo umetuambia hapa ili sisi tufanyeje? na huko mbingu ya 7 nani alikwambia kuwa kuna idadi za mbingu.
Sikapendi kamsemo haka mpaka basi yani.
Kumbe hii ni uniform eeh?