Nimetumiwa ujumbe huu

Nimetumiwa ujumbe huu

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Moja ya mikakati aliyotangaza JK baada ya kuingia ikulu Mwaka 2005, ni kuitoa nchi mahala ilipo na kuifikisha mahali pengine! Je unajua kama ameshalitimiza hilo?
Ametutoa kutoka;
Mafuta ya taa 350/= hadi 2150/=
Diesel 800/= hadi 2050/=
Petrol 1100/= hadi 2200/=
Mchele kilo 1 ilikuwa 800/= sasa hadi 2500/=
Sembe 280/= hadi 1400/=
Nyama 1800/= hadi 6000/=
Kiberiti 10 hadi 100/=
Kutoka kuwa na ndege 11 za ATCL hadi ndege 1 mbovu
*Tuma ujumbe huu kwa watu 10 wenye nia ya kuikomboa Tanzania 2015
 
Na ametufikisha kwenye div 0 kuwa 60%
 
Tukiendelea kutegemea maisha bora toka kwa viongozi hatutafika mbali, maisha yako ya baadae yanahitaji juhudi zako binafsi
 
Ukicheka na nyani utavuna mabua haya sasa 2nazidi kucheka na nguruwe hatupati hata mabunzi.
 
Back
Top Bottom