Nimetuma pesa nje ya nchi mwezi na nusu kupitia benki moja nchini mpaka sasa haijafika: Sheria ikoje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimetuma pesa nje ya nchi mwezi na nusu kupitia benki moja nchini mpaka sasa haijafika: Sheria ikoje

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kenedy, Mar 22, 2012.

 1. K

  Kenedy Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jamii:
  Nimetuma pesa nje ya nchi kwa mwezi mzima mpaka sasa haijafika kila nikienda naambiwa tatizo lilikuwa address, mara ya pili baada ya wiki mbili nikaambiwa tatizo ni account no. Juzi nikaambiwa sasa kesho itafika. Leo biashara yetu imefeli kwa sababu pesa haikufika kwa sababu zizizoeleweka. Wanasheria naomba msaada Hii ikoje?
   
Loading...