Nimetongozwa na shoga

Nimetongozwa na shoga

Kizazi cha nyoka hiki kinahitaji maombi. shetani ya ushoga toka kwa jina la Yesu, Shindwa na ulegee kabisa mtalimbo wako.
 
Wengne sio mashoga mkuu,mkubalie uone kama mkifika ghetto hajakugonga ww
 
ktk ile radio yenu ya fm kuna mashoga, mmoja wa mashoga hao hapigi ngoma za DARASA ktk station husika: kisa presenter shoga anamtaka DARASA na mchizi kamgomea coz hausudu mambo ya sodoma!
 
ktk ile radio yenu ya fm kuna mashoga, mmoja wa mashoga hao hapigi ngoma za DARASA ktk station husika: kisa presenter shoga anamtaka DARASA na mchizi kamgomea coz hausudu mambo ya sodoma!
tupia jina la hiyo media
 
Habari zenu wana JF,

Siku ya jana nimekutana na mkosi wa aina yake ilikuwa mida ya saa 7 mchana nikitoka Sinza kuelekea Posta kufanya yangu .

Ndipo daladala ilipofika maeneo ya Magomeni alipanda jamaa mmoja kiukweli daladala haikuwa na abiria wengi kwani kulikuwa na siti za wazi nyingi na mimi nilikaa mwisho kabisa wa daladala cha ajabu na kilichonishangaza jamaa kaacha siti zote kaja kukaa na mimi akasema samahani kaka siti za mbele huwa sizipendi huku anachekacheka.

Akaanza kuniuliza kila kituo tukifika eti hapa ndo wapi,Maria leo fire foleni hamna,mara nimechelewa kazini nikifika tu navaa unform haraka alivyoona niko kimya akasema kaka vipi mbona we mpole hivyo nikajichekesha kidogo nikamwambia kawaida tumefika Jangwani akaanza kunitongoza kaka unaitwa nani,unaishi wapi,we ni last born nini umepanga au unaishi kwa wazazi alafu umependeza,nataka uwe mume wangu pesa ninazo.

Kiukweli uzalendo ulinishinda nilijikuta ninemfokea kwa nguvu na kumtusi matusi ya maana sijui hata yalipotoka hayo matusi aibu ilimjaa sana jamaa ikawa habari ndani ya daladala.

Ilinibidi nishuke kituo ambacho sikupashwa kushuka,watu wengine mikosi sana.


Pole sana ,hawa njugumawe wapo wengi sana mjini
 
HAA!...duuh!...laana tena?..mmmh!...huwa sishabikii vijilaana na miiko na vijitamaduni,udini na upuzi ulopitwa na wakati....mkuu hii ni karne nyingine....duh!


Inaonekana ww ni member of les,,,,an group,,,,,
 
Back
Top Bottom