Tangu 2008 kuna sauti inaongea nami na kuumiza ubongo. Nimeiambia iniache ikakataa na kusema siwezi kukuacha kwani hatathubutu pia kuwafuata wenye pesa ambao wana maovu. Nimetolewa kafara mwenzenu. Nimemtag Lizaboni aniombee radhi kwa hii sauti.
Afadhali Daktari umeingia. Msaidie huyo kijana maana ugonjwa wake umefikia pabayaLizaboni kivipi tena?? Kwani hiyo sauti inafanana na ya EL?
Anyway, hakuna kafara hapo..DSM-IV TR (diagnostic tool ya psychiatrics) inaonyesha utakuwa na tatizo moja linaitwa Paranoid Schizrophrenia..
Gongo alizokuwa anataka kuhalalisha Dr Slaa pindi CHADEMA wangeshinda Urais zinamleweshaSAMAHANI KUKUULIZA, HUWA UNAKUNYWA KIROBA MCHANA?
Gongo alizokuwa anataka kuhalalisha Dr Slaa pindi CHADEMA wangeshinda Urais zinamlewesha
Nadhani mods hawana hako ka software. Ndo maana wanywa gongo na viroba wamejazana humuHivi moderators hawana ka-software ka kugundua kama kale ka matraffic kugundua kuwa huyu aliyeandika kakolea gongo