JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Alimaanisha built-in application na sio hizo za plastoreAiseee halafu unazisifia yaani msg mpaka app. [emoji1787][emoji134][emoji134]
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Alimaanisha built-in application na sio hizo za plastoreAiseee halafu unazisifia yaani msg mpaka app. [emoji1787][emoji134][emoji134]
Kama kweli unaipata kwa hio bei nunua maana sd710 ni soc moja nzuri sana. Almost flagship level. Sema itakuwa na uchina mwingi. Version ya kimataifa inaitwa Nokia 8.1Nataka kuagiza huu mzigo very soon
Cc Chief-Mkwawa naomba mawazo yako hapaView attachment 983619
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Hio ni stock android, simu za android one software anakuwa anadeal nayo mwenyewe google. Hujawahi kutumia custom rom kama cyanogen/lineage?Hizi simu hakuna kitu,nimetumia nokia 5 magumashi tu,UI yake imekaa kama itel,network bar zimekaa kama biskuti,yaani ni upuuzi flani sikuutegemea.
Na kama wataendelea hivi hawataamini kinachowakuta.
Hio ni stock android, simu za android one software anakuwa anadeal nayo mwenyewe google. Hujawahi kutumia custom rom kama cyanogen/lineage?
Jaribu siku..custom os tamu sana [emoji3]Sijawahi mkuu.
Mbona unanunua camon x kwa laki 4?Gharama.. sana hizo
Kama bado unayo unaweza ukaweka substratum, inabadili muonekano kadri unavyotaka.Sijawahi mkuu.