Nimetokea kuzipenda simu mpya za Nokia android

Nimetokea kuzipenda simu mpya za Nokia android

Unamaana gani unavyo sema 2MP ya nokia ni 10MP ya Tecno?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mi Nina Nokia 2.1 nawazidi wengi wenye misumsung na nimeshawaishi wengi kununua hiz simu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee...Mie ninayo hiyo Nokia 2:1 ila inanizingua sana. Kuandika Meseji ishu,Shida..... Laini ilikuwa na majina, ila nilivyoiweka kwa Nokia majina sijayaona! Yaani Tabu tupu, nampango wa kuirudia Samsung yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majina yanakuwa served kwenye email au Gmail yako hivyo yatoe uyaserve kwenye Gmail yako .hii ni nzr hata ukipoteza simu au lain namba zako zitakuwa served kwenye email yako.hii ni system ambayo inatumika Sana nchi za nje .Ila kamera,mwonekano,storage na android pamoja na ram ipo vizr

Hivi unaandika vipi Meseji? Maana naona Duuh![emoji134] Shida sana kuandika meseji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani camera yake iko pure Sana wakisema 2mp inakuwa nzr Sana na clear kuzidi hata masimu mengine Wanayosema 5 MP lakini bado camera mbaya picha haiwi clear

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hilo sio swala la MP mkuu...

MP ni ukubwa tu wa picha..na sio picha kua kali..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Sasa hilo sio swala la MP mkuu...

MP ni ukubwa tu wa picha..na sio picha kua kali..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
MP ofcoz sio kigezo sana inategemeana na simu...Lakini hicho pia ni Kigezo..!! Camera Mega PX 13 ya Tekno na 5MP ya Tekno 13 ina pichaa kali... Lakini 20 ya tekno na 5 ya iphone.. ya iphone inakuwa kali so MP kwenye same brand ina matter sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom