Nimetokea kuzipenda simu mpya za Nokia android

Nimetokea kuzipenda simu mpya za Nokia android

Message tumia application Yao .ukiandika text yako kupitia settings ya simu serve laini yenye kifurushi cha SMS au hata hapo kwenye app utaona send via laini yoyote hata kama no zako zipo email

Sent using Jamii Forums mobile app
msg mpaka app???? Alafu unakaa unasifiaa ujinga hapaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MP ofcoz sio kigezo sana inategemeana na simu...Lakini hicho pia ni Kigezo..!! Camera Mega PX 13 ya Tekno na 5MP ya Tekno 13 ina pichaa kali... Lakini 20 ya tekno na 5 ya iphone.. ya iphone inakuwa kali so MP kwenye same brand ina matter sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unavosema 13MP na 5MPkweny same brand,lazma 13 itoe picha kali bado sio sahihi,,kuna same brand kama S5 ina MP 16 ,wakati huo huo S7 ina 12MP tu..sasa utasema S5 yenye 16MP inapicha kali kulko S7 yenye mp 12 tu?

Same kwa iphone yenye 5MP itaipita tecno yenye 13 MP kwasababu hyo iphone ina Sensor nzur plus camera software nzur

Ila ikitokea Tecno akafunga sensor nzur na akawa na software iliyotulia..bas hyo Iphone yenye 5MP haitofua dafu

So issue sio MP as vile ulivyo insist kweny post hapo..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
ofcoz lakini fasta fast MP huwa zinadertemine ukali wa Picha... Simu yenye MP 2 its hard kutoa picha kuliko yenye 5 so MP matter pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ofcoz lakini fasta fast MP huwa zinadertemine ukali wa Picha... Simu yenye MP 2 its hard kutoa picha kuliko yenye 5 so MP matter pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano simu yenye MP2 ina aperture ya f/2.0 na yenye MP5 ina aperture ya f/2.8, Simu yenye MP5 itakuwa inatoa picha nzuri kuliko ya simu yenye camera MP2?
 
Kwa mfano simu yenye MP2 ina aperture ya f/2.0 na yenye MP5 ina aperture ya f/2.8, Simu yenye MP5 itakuwa inatoa picha nzuri kuliko ya simu yenye camera MP2?
Mkuu sidhani kama mtu ataweka camera MP 5 alafu aperture ikawa kubwa Hivyooo.. Increase in MP huwenda pamoja na modification ya aperture size kupunguaa kwa akili ya kawaida tuu... Huwezi weka tekno yenye MP 2 kuwa na f ndogo kuliko yenye 5 for the same brand huo ni Ujingaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kuagiza huu mzigo very soon
Cc Chief-Mkwawa naomba mawazo yako hapa
Screenshot_20190101-014207.jpeg

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Message tumia application Yao .ukiandika text yako kupitia settings ya simu serve laini yenye kifurushi cha SMS au hata hapo kwenye app utaona send via laini yoyote hata kama no zako zipo email

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee halafu unazisifia yaani msg mpaka app. [emoji1787][emoji134][emoji134]
 
Hizi simu hakuna kitu,nimetumia nokia 5 magumashi tu,UI yake imekaa kama itel,network bar zimekaa kama biskuti,yaani ni upuuzi flani sikuutegemea.

Na kama wataendelea hivi hawataamini kinachowakuta.
Hahahahah
 
Back
Top Bottom