Nimetokea kupendwa na mwanamke anayejiuza

Kuna siku nilikuwa na nyege zangu nikaamua kuingia mtandaoni kutafuta mademu kwa bahati nzuri nikapata demu mwenye asili ya kinigeria, nilimgonga demu huyo nikamlipa pesa zake alafu akasepa zake.

.

Na tatu sijui nikimkubalia huyu mwanamke alafu familia yangu waje kusikia alikuwa Malaya dah ni shida tu.

Kiukweli naombeni ushauri ndugu zangu, hivi kweli Malaya anaweza kugeuka na kuwa mwanamke mwema kabisa?
Wanaigeria kaka ? Kuwa makini nao maana uwa ni watu wa long term planning hivyo anaweza kuwa kuna jambo analihitaji kwako hivyo ataishi na wewe mpaka alipate japo kupenda kupo yawezekana kakupenda pia

Note :Malaya nao ni watu kama sisi wengine hivyo wana hisia na wanapenda pia yaweza kuwa shida na makundi rika ndiyo yamewaweka huko waliko .
 
Mbona hata na wewe ni malaya mkuu?
Wewe unadhani familia yake pia ikisikia wewe ni mtu wa kununua malaya watakuonaje?

Wewe na huyo dada wote ni malaya, yeye malaya muuzaji wewe malaya mnunuzi. Oaneni mnaendana sana.
 
Nikwambie tu mdogo wangu kuoa mwanamke ni kama kucheza upatu. Hawaeleweki
Unaezaoa mwanamke bikra ila akakusumbua ukaona dunia nzima inakuzomea. Ila unaezaoa mwanamke malaya akatulia akawa mke bora ukashangaa, maana hakuna ambacho hakufanya na alishachoka kaamua kutulia. Tena nikwambie malaya hanaga wivu wa kijingajinga
 
Tusichoshane kwa maswali yakuchoshana mkuu!
😂😂😂
Ushachoka

Ipo hivi mkuu

Hao watu hawatetewi kwa kua wameshazoea huo mchezo na pia hua hawastaafu kamwe kuacha kwao ni Jambo gumu mno

Hadi vibibi vizee vipo vinauza nyuchi mpaka kesho na vimeolewa na vina watoto na wajukuu pia ila baado vinapigwa dushe na vijana mabarubaru wa mjini mpaka kesho

In short Malaya hua haachi hata akisingizia kuokoka lazima ataendeleza alipoishia yaan lazima aendeleze alipoishia

Nawasilisha mkuu
 
Kuna siku nilikuwa na nyege zangu nikaamua kuingia mtandaoni kutafuta mademu kwa bahati nzuri nikapata demu mwenye asili ya kinigeria, nilimgonga demu huyo nikamlipa pesa zake alafu akasepa zake.

Baada ya siku tatu akanitumia sms kuwa anataka kuja kwangu nimpe burudani tena Nikasema sina pesa akaniambia eti ni bure mimi nikashangaa Akaja nikachukuwa point 3 zangu
Nikamshukuru cha ajabu akasema eti yeye ndo anatakiwa anishukuru mimi.

Nikaona mbona msala huu nikawa na wasiwasi naye labda kunakitu anataka kutoka kwangu ndo maana amekuwa ivo
au ana magonjwa. Nikawa na potezea sms zake akituma na potezea yaani nikawa sijali naye kabisa.

Sasa leo jioni amenitumia sms kuwa Alitokea kunipenda
Yupo tayari kubadirika ili awe na mimi. Nimeshangaa saana na nimeona ni ajabu hii. Mimi toka ni zaliwe sijawahi kusikia mwanamke ambaye alikuwa anajiuza ameolewa.

Na pili sijui kama nikimkubalia huyu mwanamke jamii inayo nizunguka watanionaje mimi maana sio mimi peke yangu ambaye nimegonga huyu mwanamke na amini watu wengi wamemgonga.

Na tatu sijui nikimkubalia huyu mwanamke alafu familia yangu waje kusikia alikuwa Malaya dah ni shida tu.

Kiukweli naombeni ushauri ndugu zangu, hivi kweli Malaya anaweza kugeuka na kuwa mwanamke mwema kabisa?
Ndio wapo wengi nawanatulia kuliko maslay queen wenu
 
Malaya uko nae bongo?
 
Back
Top Bottom