Nimetokea kupendwa na mwanamke anayejiuza

Nimetokea kupendwa na mwanamke anayejiuza

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Kuna siku nilikuwa na nyege zangu nikaamua kuingia mtandaoni kutafuta mademu kwa bahati nzuri nikapata demu mwenye asili ya kinigeria, nilimgonga demu huyo nikamlipa pesa zake alafu akasepa zake.

Baada ya siku tatu akanitumia sms kuwa anataka kuja kwangu nimpe burudani tena Nikasema sina pesa akaniambia eti ni bure mimi nikashangaa Akaja nikachukuwa point 3 zangu. Nikamshukuru cha ajabu akasema eti yeye ndo anatakiwa anishukuru mimi.

Nikaona mbona msala huu nikawa na wasiwasi naye labda kunakitu anataka kutoka kwangu ndo maana amekuwa ivo
au ana magonjwa. Nikawa na potezea sms zake akituma na potezea yaani nikawa sijali naye kabisa.

Sasa leo jioni amenitumia sms kuwa Alitokea kunipenda
Yupo tayari kubadirika ili awe na mimi. Nimeshangaa saana na nimeona ni ajabu hii. Mimi toka ni zaliwe sijawahi kusikia mwanamke ambaye alikuwa anajiuza ameolewa.

Na pili sijui kama nikimkubalia huyu mwanamke jamii inayo nizunguka watanionaje mimi maana sio mimi peke yangu ambaye nimegonga huyu mwanamke na amini watu wengi wamemgonga.

Na tatu sijui nikimkubalia huyu mwanamke alafu familia yangu waje kusikia alikuwa Malaya dah ni shida tu.

Kiukweli naombeni ushauri ndugu zangu, hivi kweli Malaya anaweza kugeuka na kuwa mwanamke mwema kabisa?
 
Kuna siku nilikuwa na nyege zangu nikaamua kuingia mtandaoni kutafuta mademu kwa bahati nzuri nikapata demu mwenye asili ya kinigeria nilimgonga demu huyo nikamlipa pesa zake alafu akasepa zake baada ya siku tatu akanitumia sms kuwa anataka kuja kwangu nimpe burudani tena Nikasema sina pesa akaniambia eti ni bure mimi nikashangaa
Akaja nikachukuwa point 3 zangu
Nikamshukuru cha ajabu akasema eti yeye ndo anatakiwa anishukuru mimi
Nikaona mbona msala huu nikawa na wasiwasi naye labda kunakitu anataka kutoka kwangu ndo maana amekuwa ivo
Au ana magonjwa
Nikawa na potezea sms zake akituma na potezea yaani nikawa sijali naye kabisa
Sasa leo jioni amenitumia sms kuwa Alitokea kunipenda
Yupo tayari kubadirika ili awe na mimi
Nimeshangaa saana na nimeona ni ajabu hii
Mimi toka ni zaliwe sijawahi kusikia mwanamke ambaye alikuwa anajiuza ameolewa
Na pili sijui kama nikimkubalia huyu mwanamke jamii inayo nizunguka watanionaje mimi maana sio mimi peke yangu ambaye nimegonga huyu mwanamke na amini watu wengi wamemgonga
Na tatu sijui nikimkubalia huyu mwanamke alafu familia yangu waje kusikia alikuwa Malaya dah ni shida tu

Kiukweli naombeni ushauri ndugu zangu
Hivi kweli Malaya anaweza kugeuka na kuwa mwanamke mwema kabisa?
Kunguru hafugiki
 
Kuna siku nilikuwa na nyege zangu nikaamua kuingia mtandaoni kutafuta mademu kwa bahati nzuri nikapata demu mwenye asili ya kinigeria, nilimgonga demu huyo nikamlipa pesa zake alafu akasepa zake.

Baada ya siku tatu akanitumia sms kuwa anataka kuja kwangu nimpe burudani tena Nikasema sina pesa akaniambia eti ni bure mimi nikashangaa Akaja nikachukuwa point 3 zangu
Nikamshukuru cha ajabu akasema eti yeye ndo anatakiwa anishukuru mimi.

Nikaona mbona msala huu nikawa na wasiwasi naye labda kunakitu anataka kutoka kwangu ndo maana amekuwa ivo
au ana magonjwa. Nikawa na potezea sms zake akituma na potezea yaani nikawa sijali naye kabisa.

Sasa leo jioni amenitumia sms kuwa Alitokea kunipenda
Yupo tayari kubadirika ili awe na mimi. Nimeshangaa saana na nimeona ni ajabu hii. Mimi toka ni zaliwe sijawahi kusikia mwanamke ambaye alikuwa anajiuza ameolewa.

Na pili sijui kama nikimkubalia huyu mwanamke jamii inayo nizunguka watanionaje mimi maana sio mimi peke yangu ambaye nimegonga huyu mwanamke na amini watu wengi wamemgonga.

Na tatu sijui nikimkubalia huyu mwanamke alafu familia yangu waje kusikia alikuwa Malaya dah ni shida tu.

Kiukweli naombeni ushauri ndugu zangu, hivi kweli Malaya anaweza kugeuka na kuwa mwanamke mwema kabisa?
Kula jicho
 
Usidanganyike Jasir asili huwa haachi, na mazoea hujenga tabia, hyo kazi ameishaizoea na Ndio imekuwa tabia yake, Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa na mtindo huo was kununua Kuna dada muuzaji alichukuaga mawasiliano yake akihitaji huduma anamlipia tu maisha ya endelea, Kuna siku dada muuzaji alikosa mteja akampigia jamaa simu kuwa sina Raha Leo sijapata naomba nije nikupe bure tu, unifanye utakavyo niondoe gundu basi jamaa alikuwa amepika ugali na dagaa wa kulumangia dada muuzaji alikuja akala akapata alichokihitaji akasepa
 
Na wao ni binadamu na wanahisia, shida na changamoto ndio zinawafanya wawe hivyo. Tena watu kama hao wakiamua kutulia wanatulia kweli maana washamaliza ujana. Ni kama mabaamedi pia.
We uliskia malaya anatulia? Dont get caught bro, hiyo ni 🪤
 
Back
Top Bottom