Nimetokea kupendwa na mwanamke anayejiuza

Nimetokea kupendwa na mwanamke anayejiuza

😂😂😂
Ushachoka

Ipo hivi mkuu

Hao watu hawatetewi kwa kua wameshazoea huo mchezo na pia hua hawastaafu kamwe kuacha kwao ni Jambo gumu mno

Hadi vibibi vizee vipo vinauza nyuchi mpaka kesho na vimeolewa na vina watoto na wajukuu pia ila baado vinapigwa dushe na vijana mabarubaru wa mjini mpaka kesho

In short Malaya hua haachi hata akisingizia kuokoka lazima ataendeleza alipoishia yaan lazima aendeleze alipoishia

Nawasilisha mkuu
Sawasawa!!
 
Kilaa mwanadamu ana moyo wakupenda na Yale anayoyapitiaa kwa kipindii unakutanaa naye penginepo c km anapenda n kutokanaa na hali tu ya maisha km unawezaa kumpenda nakumpa thaman na anakuahidi atabadilikaa mpe nafac mkuu.
Mm nilishapendwa na bar med mmoja hv aisee Yulee dem alinipenda kabla hata cjamtongoza wala kumlaaa nilipokuja kumlaaa aliachaa kila ktu yupo tyr kuwa nami ht km atalala njaa ila awe kwangu ,kutokaa nami ckuwa na moyo wa kupendaa wala kuthamin hisia zake nikawa namchukuliaa poaa ,mwishowee alivoonaa cmzingatii alianza kupata stress kitulizo pombeee na akishalewaa anachukuliwaa na yyt Yulee mwishowee aliiukwaaa ukimwi na hakujipendaa tenaa nakuja kushtukaa kwelii huyu dem akipendaa tyr c mwinginee tenaa daaaaaaaaaaaaa moyo moyo unaniwakagaa moto mpk kesho nikimkumbukaa Stella cheupeee R.I.P

HATA KAMA UMPENDI MTU MWIGIZIEE ,ALAFU TARIBU MTOE KWENYE MIPANGO YAKO C GHAFLA TU.tumepoteza NGUVU Kazi nyingi sana kisa mapenzi
 
Mm nilishapendwa na bar med mmoja hv aisee Yulee dem alinipenda kabla hata cjamtongoza wala kumlaaa nilipokuja kumlaaa aliachaa kila ktu yupo tyr kuwa nami ht km atalala njaa ila awe kwangu
Mimi kuna Malaya anajiuza na ananipenda ila sina muda nae huwajui vizuri hawa viumbe wewe wao wanachoangalia ni Pesa mbele na fantasy life, Pesa Pesa Pesa km huna Pesa utamjua Malaya ni nani
 
Ni kweli jasiri haachi asili ila kumbuka wale sio asili wala nature inawepelekea kufanya hayo ni shida sometimes makundi rika

Hivyo kubadilika wanaweza wakiamua kufanya hivyo.
Hakuna hata wine atayokunywa ikambadilisha malaya,mbona vidume mnakua wazito skuizi? Never Merry a sluts,usije ukasema hatukukwambia
 
Nikwambie tu mdogo wangu kuoa mwanamke ni kama kucheza upatu. Hawaeleweki
Unaezaoa mwanamke bikra ila akakusumbua ukaona dunia nzima inakuzomea. Ila unaezaoa mwanamke malaya akatulia akawa mke bora ukashangaa, maana hakuna ambacho hakufanya na alishachoka kaamua kutulia. Tena nikwambie malaya hanaga wivu wa kijingajinga
[emoji1] endeleeni kupotoshana tu,kuna redflags unatakiwa ukae nazo mbali wewe kama Mwanaume,nashangaa kuona mna negotiate penzi na Malaya [emoji706]
 
Kwani huyo utakaemuoa atakuwa amekaa tu anakusubiria wewe bila kuuzia wengine. Vuta chombo hicho tia ndani
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushachoka

Ipo hivi mkuu

Hao watu hawatetewi kwa kua wameshazoea huo mchezo na pia hua hawastaafu kamwe kuacha kwao ni Jambo gumu mno

Hadi vibibi vizee vipo vinauza nyuchi mpaka kesho na vimeolewa na vina watoto na wajukuu pia ila baado vinapigwa dushe na vijana mabarubaru wa mjini mpaka kesho

In short Malaya hua haachi hata akisingizia kuokoka lazima ataendeleza alipoishia yaan lazima aendeleze alipoishia

Nawasilisha mkuu
Nakazia,na mara nyingi unakuta tayari wameshaa zaaa kitambo,and the moment anakuganda wee tayari ameshakua veteran kweny hiyo kazi,sasa kazi ni kwako ukaoe veteran au ukatafute mtu mtoto fresh.

Yani mtu achezee paipu za Wanaume wengine miaka yote hiyo,leo hii ww uweke ndani useme katulia [emoji23][emoji706][emoji706]
 
Mkuu,Huyu ndo saizi yako.Kama Unammudu,Chukua,Kama Haummudu Potezea.Unajua kwa nini?Kwa sababu unajua anagongwa hovyo,umenunua,ukalipa,akaomba rematch ukarudia.Kwa kawaida na kwa uzoefu wangu,Basic Assumption ni kwamba Ukishapita na mwanamke wa kushare huwa haurudia wala hata humkumbuki na yeye hakukumbuki so ukiona umeweza kurudia tena maana yake unamfeel(Emotional bond) so huyo ni wako mzeiya.
 
Ugenini hakuna kitu muhimu kama accommodation, kwahiyo hapo inatafutwa free accommodation tu.
 
Kilaa mwanadamu ana moyo wakupenda na Yale anayoyapitiaa kwa kipindii unakutanaa naye penginepo c km anapenda n kutokanaa na hali tu ya maisha km unawezaa kumpenda nakumpa thaman na anakuahidi atabadilikaa mpe nafac mkuu.
Mm nilishapendwa na bar med mmoja hv aisee Yulee dem alinipenda kabla hata cjamtongoza wala kumlaaa nilipokuja kumlaaa aliachaa kila ktu yupo tyr kuwa nami ht km atalala njaa ila awe kwangu ,kutokaa nami ckuwa na moyo wa kupendaa wala kuthamin hisia zake nikawa namchukuliaa poaa ,mwishowee alivoonaa cmzingatii alianza kupata stress kitulizo pombeee na akishalewaa anachukuliwaa na yyt Yulee mwishowee aliiukwaaa ukimwi na hakujipendaa tenaa nakuja kushtukaa kwelii huyu dem akipendaa tyr c mwinginee tenaa daaaaaaaaaaaaa moyo moyo unaniwakagaa moto mpk kesho nikimkumbukaa Stella cheupeee R.I.P

HATA KAMA UMPENDI MTU MWIGIZIEE ,ALAFU TARIBU MTOE KWENYE MIPANGO YAKO C GHAFLA TU.tumepoteza NGUVU Kazi nyingi sana kisa mapenzi
Malaya sio wakumpa nafasi Boss,mbona ww hukumzingatia ukaweka ndan? Never merry a sluts, Hiyo ni redflags [emoji626] ya wazi kabisa
 
Back
Top Bottom