Mkuu jipange maana wanafunzi wa chuo hiki cha jf DA ni matron sasa sijui hivyoanafanyia kazi mswaada wako huyo Rose1980 ndiye mshauri wake mkuu usije rudi hapa kipofu ukatuletea adithi za nimenyonywa macho hiyo itakuwa nijuu yako hila unamoyo umewaza nini kwa DA??unafikiria ni mhabeshi??chakike hicho unachotaka kuingia lazima ukojoe umechuchumaa!!!
dahhhh i hatari
kabla ya yote ndg shemej mtarajiwa NAOMBA UBADIRISHE AVATAR YAKO...manke dah dada AD ANAWEZA KUKUKATAA
ntamshauri lakin pls avatar kwanza
Nimempa siri ya urembo!!sijamtisha nasubiri kutoka kwa DAHee mkuu mbona unamtisha mwenzio?
Mkuu jipange maana wanafunzi wa chuo hiki cha jf DA ni matron sasa sijui hivyoanafanyia kazi mswaada wako huyo Rose1980 ndiye mshauri wake mkuu usije rudi hapa kipofu ukatuletea adithi za nimenyonywa macho hiyo itakuwa nijuu yako hila unamoyo umewaza nini kwa DA??unafikiria ni mhabeshi??chakike hicho unachotaka kuingia lazima ukojoe umechuchumaa!!!
Mkuu jipange maana wanafunzi wa chuo hiki cha jf DA ni matron sasa sijui hivyoanafanyia kazi mswaada wako huyo Rose1980 ndiye mshauri wake mkuu usije rudi hapa kipofu ukatuletea adithi za nimenyonywa macho hiyo itakuwa nijuu yako hila unamoyo umewaza nini kwa DA??unafikiria ni mhabeshi??chakike hicho unachotaka kuingia lazima ukojoe umechuchumaa!!!
avatar yake kweli inatisha. Duh!
teh teh i kali
usimtishe mwezio bwana mwache ampate ..subiri mwenyewe anakuja ATAMJIBU..mi cha kumsaidia nimemwambia abadirishe avatar io ..
ahh mintakuwa maid pale nyuma kushika shela na kufuta vijasho vtakavyotoka kwenye ushung mwekundu wa dada DA!!!!!!
Naingojea kwa hamu hiyo thread ya DA!!Mimi nitakuwa katika kamati ya ulinzi hivi ngoja niulize kadi zitaandikwa majina ya jf au ya alisia??na hichokiko ninani wakuitisha.?Anyway ngoja nisubiri kwakuwa nimeomba ulinzi mlangoni ikiwa nakuhakiki kadi na imani wengi tutafahamiana!!!teh teh i kali
usimtishe mwezio bwana mwache ampate ..subiri mwenyewe anakuja ATAMJIBU..mi cha kumsaidia nimemwambia abadirishe avatar io ..
ahh mintakuwa maid pale nyuma kushika shela na kufuta vijasho vtakavyotoka kwenye ushung mwekundu wa dada DA!!!!!!
:hug:Habari zenu wanajf! Nafikiri kupenda si dhambi na kila mtu ana haki ya kupenda au kupendwa. Mimi nimetokea kumpenda sana binti huyu kwa namna anavyochangia mada hadi sasa napenda kukutana naye, kuzungumza naye, kukubaliana naye, kupanga naye na hatimaye kujivinjari naye. Namuomba kama atakupita hapa anipe namba yake ya simu ili tuwasiliane, ila asinipe namba ya gari kwa vile nina nia naye nzuri tu. Hata nyie akina rose80, afrodenz nk mwaweza kumshauri mwenzenu huyu ili liwezekane. Kama ana mkataba na mtu mwingine basi, Nawasilisha.:hug: