Dalai Lama in Tz
Member
- Apr 8, 2025
- 60
- 91
Mkuu Al masry jau sana wanafungwaje kiboya kama vile na timu kama simbaWakuu kwema?
Niende direct kuna member humu JF anaitwa mamdenyi nimetokea kumpenda sana nimekufa nimeoza wakuu. Ana hekima, busara, mpole, mtaratibu hana makuu.
Naimani hajaolewa naomba mimi nikuoe mamdenyi, nitakuwa mume mwema na mtiifu kwako.
New member , vipi nikusaidie kumtag? πππWakuu kwema?
Niende direct kuna member humu JF anaitwa mamdenyi nimetokea kumpenda sana nimekufa nimeoza wakuu. Ana hekima, busara, mpole, mtaratibu hana makuu.
Naimani hajaolewa naomba mimi nikuoe mamdenyi, nitakuwa mume mwema na mtiifu kwako.
Ulipotea my
Pole sana kwa msiba!