Ngaramanyagu
Member
- Jun 16, 2017
- 31
- 51
Aksante,Karibu sana
mwanafunziKaribu sana, single double?
If not double pitiliza love connect uchukue Fanta ya baridi
nimejiandaa ndugu Utandu;Karibu sana ila jiandae kisakolojia kuwa tayali kwa lolote lile kusifiwa kukosolewa kukataliwa ukweli unaoujua
naomba niletee hapa hapa Evelyn!!Karibu sana, single double?
If not double pitiliza love connect uchukue Fanta ya baridi
Vinywaji unachukua mwenyewe usiogopenaomba niletee hapa hapa Evelyn!!
Habarini humu ndani;
Ni mgeni humu lakin nilikuwa napitia majukwaa mbalimbali kabla ya kujiregista rasmi,nimegundua kuwa JF ni nzuri kwa kuongeza maarifa katika nyanja mbalimbali.Hakika naamini nimefanya chaguzi sahihi;
Nami naruhusiwa kwenda huko kuchukua kinywaji?Karibu sana, single double?
If not double pitiliza love connect uchukue Fanta ya baridi
Karibu sanaHabarini humu ndani;
Ni mgeni humu lakin nilikuwa napitia majukwaa mbalimbali kabla ya kujiregista rasmi,nimegundua kuwa JF ni nzuri kwa kuongeza maarifa katika nyanja mbalimbali.Hakika naamini nimefanya chaguzi sahihi.Hongereni wote mlioanzisha JF.Naomba mnipokee,Nawasilisha kwa member wote;
Mambo ya Bwakila hayo[emoji15] [emoji15]Kama umeipenda bonyeza * itakuwa yako!