benizle kweli unashangilia ujinga wako? hebu fikiria gari haina insurance na umeova spidi kwenye eneo la makazi. wewe ulitakiwa kufungwa tu kosa lako ni kubwa mno.
polisi kama huyo kwanza anatakiwa afutwe kazi na kuozea jela kwa kuhatarisha maisha
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa

Ingekuwa rushwa inachukiwa kweliNdio maana nilianzw na kusema rushwa haiezi kuisha..maana jamaa alinitajia makosa yangu na gharama ya makosa,then akauliza Nina shilingi ngapi. Ningekua mjinga yeye mwenyewe angenishangaa kama nimgemuomba aniandikie fine.
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
Naona wachangiaji wengi wamekulaumu na wengine kukutukana na hii ndio hulka ya Mswahili.
Umeeleza ukweli wa mambo uliyofanya leo mojawapo likiwa ni kumpa rushwa askari polisi wa barabarani.Hukuishia hapo na ukatoa tofauti ya faini na rushwa uliyotoa.
Mimi naomba tuliangalie jambo hili from another angle,faini zinapunguza ajali wakati system ni corrupt?Kwa mtizamo wangu ni afadhali faini ziwe kidogo ili ziwazuie watu kutoa rushwa lakini unapokuwa na faini kubwa halafu kuanzia RPC mpaka constable wote wananuka rushwa husaidii kuongeza kipato,kupunguza ajali wala kuwasaidia wananchi ila unaharakisha kufa kwa askari wetu kwani wanakuwa na pesa nyingi wasizozitokea jasho na kama tujuavyo "pesa huongeza urijali"
Ndio maana nilianzw na kusema rushwa haiezi kuisha..maana jamaa alinitajia makosa yangu na gharama ya makosa,then akauliza Nina shilingi ngapi. Ningekua mjinga yeye mwenyewe angenishangaa kama nimgemuomba aniandikie fine.
Kuna Dereva mmoja staafu wa magari makubwa ya mizigo...alinieleza kuwa Rushwa ifungiwe huko mahospitalini, mashuleni, vyuoni, mahakamani nakadhalika lakini kamwe Rushwa isizuiwe barabarani; sababu yake alisema rushwa barabarani inapunguza usumbufu kwa kutozwa faini kubwa na kupotezewa muda wakati wa safari.
aliyetoa na aliyepokea wote mali-ganyaja.Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
[h=1]Anti-Corruption Views - Tanzanias new driving licence system old wine in new bottles[/h]By Kizito Makoye | Wed., November 28, 11:21 AM | Comments ( 2 )Hii kitu hakiezi kuisha.kwanza nimekutwa na kosa la overspeeding in residential area.pili insurance imeisha muda tatu sijafunga mkanda. Ingenitoka kama 90,000 hivi. Yeye mwenyewe akaanza kuniuliza unashilingi ngapi..ah nikatoa 10,000 mfukoni nikaendelea na safari,mambo mswano kabisa
Sio sawa.