Nimetoa boko wakuu

Nzuri[emoji16][emoji16][emoji16] ila hiyo elimu ya kutambua mbaya na mzuri kwa kuangalia mwandiko naomba uwape na mabaharia wenzio...itasaidia kutuondolea usumbufu sisi wengine hapa
Asante
 
Mkuu upo vizuri sana katika UTUNZI mtafute Musa Banzi au Bishop Hiluka madirector watakupa muongozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…