1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,137
- 14,233
[emoji86] Siku hizi wamejificha ktk kusaka wachumba,,Tutakurudisha darasani intelijensia imeyumba, itakua kuna vipindi ulitega.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nashangaa aisee
Sasa unawezaje kuja na ID hii hii unayo wapelekea moto Kaka, Huoni unajianika mtu wang ? [emoji23][emoji23][emoji23]
I'm on that good kush and alcohol
Ngoja awamalize kwanza,[emoji23][emoji23][emoji23] uoe sasa baharia. Achana na hizi mambo za kukimbizana na nyapu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Babe wangu na mimi nitongoze kwa mara ya pili nikuombe tu mahela ukimbie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fwala wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndo unakwama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fwala wewe
Kwakweli hata mimi mwenyewe nashangaa hivi imekuwaje eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe na hela sijawahi jua nani kakuloga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwakweli hata mimi mwenyewe nashangaa hivi imekuwaje eti
Naenda Kumtokea Joanna na Mimi, nshachoka kusoma stori za Wadau wanakula Nyufa za umu mi naambulia stori tu... Joana Nakuja mama.. Niko mbiyo Kama Sharukh Khan kwenye Muvi ya Kuchi Kuchi Hotae... Nipokee Mama nna mahaba yaliyo imara Sana, hutojuta!
Kwa binti anaye comment kwa kushangilia au kusupport nyuzi Kama hii,hata siwezi jihangaisha kumtokea kwa sababu anaonesha wazi ni Mwanamke asiyefaa kama Mke makini anayejitambua.
kwa watu kama mimi huwa ni waoaji na sio wapitaji basi nikiona binti anasupport hapa ni kama ameshaji punguzia credi ya kuwa Mke,na siwezi mtokea kamwe.
Ila wewee ukishakunywa K vant akili zako huwa unazijua mwenyewe!!
M Nakusalimia sana jamani, wifi wa JF
Ebu niache niendelee kunywa maji yangu ya tangawizi na limao nipoze kikohozi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usiniambie unajishangaa!! Sasa ukimuomba hela anakupa halafu anakimbia au inakuwaje jamani
Kuna watu humu wako anonymous miaka yote..lakini wengine wanafahamiana mpaka via vya uzazi vinafananaje![emoji40]