Nimetoa boko wakuu

muhusika anakua ashakubali nipandishe mada hewani..bila kumtaja lakini,

Kausoma uzi hapa kacheka sana
Sasa akitokea Mtoto mkali mwengine Unaruka nae na ID hii hii Au Wakat ushaifungulia mathread Kama haya [emoji23][emoji23] ila we mwamba Sikuwezi

I'm on that good kush and alcohol
 
Aaaah hiyo niambie niwape wavulana..mabaharia hua tunakikubali kila chombo kwa wakati wake,,,hakiachwi kitu[emoji23][emoji23]
Nzuri[emoji16][emoji16][emoji16] ila hiyo elimu ya kutambua mbaya na mzuri kwa kuangalia mwandiko naomba uwape na mabaharia wenzio...itasaidia kutuondolea usumbufu sisi wengine hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulijifukiza lakini kabla na baada ya kuonana nae!?
 
hahahaha kweli legend

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naenda Kumtokea Joanna na Mimi, nshachoka kusoma stori za Wadau wanakula Nyufa za umu mi naambulia stori tu... Joana Nakuja mama.. Niko mbiyo Kama Sharukh Khan kwenye Muvi ya Kuchi Kuchi Hotae... Nipokee Mama nna mahaba yaliyo imara Sana, hutojuta!
 
Kwa binti anaye comment kwa kushangilia au kusupport nyuzi Kama hii,hata siwezi jihangaisha kumtokea kwa sababu anaonesha wazi ni Mwanamke asiyefaa kama Mke makini anayejitambua.

kwa watu kama mimi huwa ni waoaji na sio wapitaji basi nikiona binti anasupport hapa ni kama ameshaji punguzia credi ya kuwa Mke,na siwezi mtokea kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…