Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Meja Kunta, asa sijui meja wa jeshi gani.
Anaitwa nani eti jamani
Meja Kunta, asa sijui meja wa jeshi gani.
Anaitwa nani eti jamani
Teh tehMate si ndo yako na corona akii....
Naona unatumia browser
AmenNakaziaaa
Nyoo humpati mtu hapa
Naona unajibu comments za juziTeh teh
Browser kwanini
Kuna sigara bwege, mume bwege, mimi nipeni soda bwege kwa kweli
HahahahahahaahMeja Kunta, asa sijui meja wa jeshi gani.
Mbona nikiwa na ile id nyingine nakua serious sana mnanisifia sana haswa siasani kule
Id hii acha nifanyie masikhara tu
Sent using Jamii Forums mobile app









MfyuuuSi ndio hapo sasa, mie wa 57 nikae tu pembeni hata sihangaiki kubishana na wajukuu zangu.
Mwe uko form five mie ndiyo nastaafu kazini
Haya
RITA
Ahahhahaha c makosa aliyoyafanya Hazard za kumtongoza utamu wake wa zamani...
Haswa, tena kasahau kutoa na mbegu.
Mkubwa pia huwa hafichwiWewe hukupoteaulifichwa

Mwe hata najua basiHivi kaenda wapi eti jamani
Kula tuHahahahahahaah
Labda niikule kwenye papai dear hiyo corona
Hebu toa na wewe boko lako hapa jamaniMwe uko form five mie ndiyo nastaafu kazini