Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
- Thread starter
-
- #561
Rita si ndo alikula hela za bss
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana, kama inatafuna hadi mapapai nina mashaka na ubongo wako.
Juzi tuu
Sie wa 79 tuseme nini
AkiiiiUuunh...hujakosea jamani
Lakini niliacha wewe kwa nyumba maana huwa nafurahi vile napoekelewa na makumbatio nikiwa natoka kwa pori
Oohh jamani, basi tema mate tumchape.Hakuniaga dear
Mempata huku kwa uzi imagine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi mwanangu humfai. Tafuta walevi wenzio.Sihongi aiseee...hata miaa,ila pombe nitakununulia mpka asubuhi[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mate si ndo yako na corona akii....Oohh jamani, basi tema mate tumchape.
NakaziaaaBasi mwanangu humfai. Tafuta walevi wenzio.
10 Unafikiri mchezo eeehh
Basi mwanangu humfai. Tafuta walevi wenzio.
10 Unafikiri mchezo eeehh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubichi huo vipiii...Bado mbichi kabisa wewe....watu tunapiga hadi ngoma zenye 55 huķoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana aise, kwangu ile ndiyo best of all times ukijumlisha na ule muendelezo wake.Naikumbuka ile ya rais anampenda mke wangu, bonge la story lileee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unagonga nyama ya kuku na ndizi zilizopikwa eeehh
Sana aise, kwangu ile ndiyo best of all times ukijumlisha na ule muendelezo wake.
Hahaha...mkubwa hapotei darlinAkiiii
Venye umeondokaa bila taarifa mimi najua aje penye ukoo
Kwani ukiwa atheist ndiyo inabadilisha ukweli kuwa Mungu yupo
Teh mwenyewe nina cheti cha RITA kinasema nimezaliwa mwaka 1977, sasa na mimi nikichukua huo mwaka ninyi nyote si mtakuwa wajukuu zangu.